Kwa unachoandika ubatizo wako una ukakasi na umefoji cheti cha UBATIZO weweUjue kazi ninayoifanya ni kubwa sana, unadhanibkukushawishi unipe mshahara tu ni shughuli ndogo!! Alafu bado unaniambia habari za dhambi!! Hapa wewe ndio una dhambi.
Hii nayo ni dhambi, kushuhudia uongo.Kwa unachoandika ubatizo wako una ukakasi na umefoji cheti cha UBATIZO wewe
Kazi nimeshafanya kubwa sasa hatahunilipi.Unazeeka vibaya wewe...
Mimi na wewe nani mwongo .utatakaje mshahara usio na kufanya kazi shemeji?
Hebu nipe mshahara sasa, kumbe unajua ni kazi.Unapaswa ujue kazi ya kutafuta kazi ni kazi saana.
Pesa kitu ingine shemeji. Fanya kamuamala basi.Hujawahi kukosa hoja ya kujitetea kwenye pesa.
Mashemeji hawaombwi pesa...Pesa kitu ingine shemeji. Fanya kamuamala basi.
Usikimbie majukumu shemeji, na kuombwa pesa imo.Mashemeji hawaombwi pesa...
Wakija kwako unawachangamkia na kama kuna karata unatoa mnacheza masuala ya kuombana pesa ni huuukooo kwa michepuko [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Haha sio kwa kukusifia vile fanya kunilipa basi [emoji13]