Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
- Thread starter
- #201
Kwa unachoandika ubatizo wako una ukakasi na umefoji cheti cha UBATIZO weweUjue kazi ninayoifanya ni kubwa sana, unadhanibkukushawishi unipe mshahara tu ni shughuli ndogo!! Alafu bado unaniambia habari za dhambi!! Hapa wewe ndio una dhambi.