Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Ujue kazi ninayoifanya ni kubwa sana, unadhanibkukushawishi unipe mshahara tu ni shughuli ndogo!! Alafu bado unaniambia habari za dhambi!! Hapa wewe ndio una dhambi.
Kwa unachoandika ubatizo wako una ukakasi na umefoji cheti cha UBATIZO wewe
 
Pesa kitu ingine shemeji. Fanya kamuamala basi.
Mashemeji hawaombwi pesa...

Wakija kwako unawachangamkia na kama kuna karata unatoa mnacheza masuala ya kuombana pesa ni huuukooo kwa michepuko [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Mashemeji hawaombwi pesa...

Wakija kwako unawachangamkia na kama kuna karata unatoa mnacheza masuala ya kuombana pesa ni huuukooo kwa michepuko [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Usikimbie majukumu shemeji, na kuombwa pesa imo.
 
Back
Top Bottom