BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,989
- 32,649
Duuuh!Member wa jukwaa kwema!
Kuna vitu au mambo fulani hutendeka/hutendwa na tunayachukulia kawaida tuuu. Ila hivi ulishajiuliza hayo hayo mambo tunayoyachukulia kawaida yangetendeka au kutendwa sehemu zingine na watu tofauti na waliyoyatenda ingekuaje [emoji23][emoji23]?
Mfano1 : track ya WAPO ya Ney angeifanya HAMORRAPER halafu akaitwa central polisi na mlolongo mzima wa kuitwa na waziri hivi ingekuaje[emoji23][emoji23]? Kwa ishu ya NAPE tu kidogo ajitoe meno kwa mbio. Sasa kama yeye ndiye aliyekamatwa ingekuwaje? ????
Na wewe Karibu tuambie ingekuwa hivi ingekuwaje.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji124] [emoji124] [emoji124]
aseee! bora ubaki kuwa mfano hivo hivo maana ingekuwa kweli sijui wadada wa jf wangetokea wapi!Mfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist
kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
Just imagine bro kwa alivyo ukiongezea na uwoga ingekuwaje
Hivi mfano,
Husna angenishobokea mimi, alafu akaja PM kwangu tukachonga kukutana. Alafu baadae tunakutana na kukutanisha vikojoleo, hivi unafikiri nini kingetokea? Aaagh, ningemtia alama D tumboni.
Hivi Daby ungekuwa wewe unashuhudia Husna ananishobokea hivi ungechukuliaje?
Acha tu vitu vingine tuendelee ku-imagine.
Hahahaha
Ha ha ha ha kamtombeleza duuhUsuper staa umatawi ya juu kujifanya wazuri kujifanya wana pesaa kwa baadhi ya memba kungeisha kwani ningejua yule ni KIBORI NANGAAYA na yule ni anyosisye kamtombeleza wa tukuyu
Yaani mmoja kati ya hao, angenipiga life ban.....Mfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist
kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
Ilak[emoji808]Vita vya ilak na ilan
Angefanya kama hivi.....Sio team UKAWA tena wa celebrity? ?[emoji16][emoji16]
Hapo nmekuelewa kwamba hivi JPM angekuwa mod JF INGEKUWAJE? ?[emoji23][emoji23]
Hizi ban zingine ni zakujitakia aiseeeee.....[emoji45] [emoji45]Je ingekuwajee kamaa nyosoo angechezaa timu pinzanii alafuu yulee boko aliyechomwa dolee jee angekuwaa ankoo magu ndio nyosoo alimfanya vile ..una hisi nyosoo leoo angekuwaa wapiii.....
Mkuu.....
Sura yake tu, kwangu ni stress free maker......[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Just imagine bro kwa alivyo ukiongezea na uwoga ingekuwaje
Tusingekua na uhuru wa kuandika hayaKwan ingekua vip kam memberz wote wangetumia id halis,umri,ukoo,jina,jinsia,na kama una mke/mume,na unapoishi ingekua vip??
Imekuaje kwani....[emoji45] [emoji45]Mkuu kwa hiyo picha Mungu anakuona ujue
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] jiran haya ya mtakatifu ni kweli? Nimchinjie bahariniMfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist
kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
[emoji15] [emoji15] unaniuzaa?? We hufai jirani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatizo harakati zako ndugu ni kama za PIMBI. Yaani na kuhudhuria kote pm za watoto umekosa hata wa kumvusha hizi server za Mike na Maxence daah