Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Member wa jukwaa kwema!
Kuna vitu au mambo fulani hutendeka/hutendwa na tunayachukulia kawaida tuuu. Ila hivi ulishajiuliza hayo hayo mambo tunayoyachukulia kawaida yangetendeka au kutendwa sehemu zingine na watu tofauti na waliyoyatenda ingekuaje [emoji23][emoji23]?

Mfano1 : track ya WAPO ya Ney angeifanya HAMORRAPER halafu akaitwa central polisi na mlolongo mzima wa kuitwa na waziri hivi ingekuaje[emoji23][emoji23]? Kwa ishu ya NAPE tu kidogo ajitoe meno kwa mbio. Sasa kama yeye ndiye aliyekamatwa ingekuwaje? ????
6ffb96c377d654de834155891f79a192.jpg

Na wewe Karibu tuambie ingekuwa hivi ingekuwaje.
Duuuh!
 
Hivi mfano,
Husna angenishobokea mimi, alafu akaja PM kwangu tukachonga kukutana. Alafu baadae tunakutana na kukutanisha vikojoleo, hivi unafikiri nini kingetokea? Aaagh, ningemtia alama D tumboni.

Hivi Daby ungekuwa wewe unashuhudia Husna ananishobokea hivi ungechukuliaje?

Acha tu vitu vingine tuendelee ku-imagine.

Hahahaha
 
Mfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist

kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
aseee! bora ubaki kuwa mfano hivo hivo maana ingekuwa kweli sijui wadada wa jf wangetokea wapi!
 
Hivi mfano,
Husna angenishobokea mimi, alafu akaja PM kwangu tukachonga kukutana. Alafu baadae tunakutana na kukutanisha vikojoleo, hivi unafikiri nini kingetokea? Aaagh, ningemtia alama D tumboni.

Hivi Daby ungekuwa wewe unashuhudia Husna ananishobokea hivi ungechukuliaje?

Acha tu vitu vingine tuendelee ku-imagine.

Hahahaha

Ni sheeda ingekuwa aise
 
Usuper staa umatawi ya juu kujifanya wazuri kujifanya wana pesaa kwa baadhi ya memba kungeisha kwani ningejua yule ni KIBORI NANGAAYA na yule ni anyosisye kamtombeleza wa tukuyu
Ha ha ha ha kamtombeleza duuh
 
Mfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist

kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
Yaani mmoja kati ya hao, angenipiga life ban.....
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Je ingekuwajee kamaa nyosoo angechezaa timu pinzanii alafuu yulee boko aliyechomwa dolee jee angekuwaa ankoo magu ndio nyosoo alimfanya vile ..una hisi nyosoo leoo angekuwaa wapiii.....
Hizi ban zingine ni zakujitakia aiseeeee.....[emoji45] [emoji45]
 
Hapana bwana.
Unamjua mudi mmoja anampigaga ban the bold? Walikuwa wanamgombania mtoto cheupe Nifah .. ila huyu mtoto nngoja tu siku The bold ameteme.. nitamchukua juu kwa juu
Mkuu.....
Imenifanya nimecheka kwa nguvu, hadi nionao hapa wanatafuta kamba wanifunge kwamba nimechanganyikiwa...[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Eti Mudi mmoja anae mpigaga bani ze bold.....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Mfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist

kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] jiran haya ya mtakatifu ni kweli? Nimchinjie baharini
 
Back
Top Bottom