Hata mapambioo tuu
Hiyo itakuwa ni ile sauti baada kuanza kunena kwa lugha eeeh
Ngoja mtakatifu aje atusaidie me mwenyw sijuiNikiwa huku call me J naskiaga skiaga neno BAZAZI eti ndugu lina maana gani vilee
Duuuh apa lazima ajute kukujua sio kwa kumkandia hukoIla Saint Ivuga ni papu... Monger aseeh ndiyo ile wanasema ninja never die.
May be una utani na Behaviourist mkuuMimi sitaki ban ya maisha mkuu
Hahahaha!!!Mfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist
kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
Akiiona hii fursa walai atachukua boda boda.Hahahaha!!!
Behaviorist kumbe ni mpenda sketi eehe!!! Embu mwambie aje tusign mkataba!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji119] [emoji119] [emoji119] [emoji119]Huyu huwa tunagongana kwenye makoloni namjua.