Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Hivi ulishajiuliza ingekuwa hivi ingekuwaje?

Mfano2: assume founder wa JF Maxence Melo angekuwa ni Saint Ivuga au Behaviourist

kwa jinsi ninavyowafahamu hawa member wanavyopenda wanawake nakuapia wangekuwa wanarefresh server kila siku kuangalia totoz mpya zilizoingia na kungekuwa na ban za visasi kwa wanaume wenzao na kwa wanawake ambao wangewakataa.
Hahahaha!!!
Behaviorist kumbe ni mpenda sketi eehe!!! Embu mwambie aje tusign mkataba!!!
 
Back
Top Bottom