Huyo ni mtu wa watu, ni kundi maalum katika jamii ambao wanazaliwa katika mwaka uliopo katika kundi la namba shufwa na sio shufwaaLeo jamaa yangu ameniboa,tukipiga hatua kidogo atasimama kusalimiana na watu,hivi hii hali kama ilishakutokea ulifanya nini?jee ulimuacha au ulikuwa unamsubiria?
Aaaah sheikh yahaya msoma nyotaHuyo ni mtu wa watu, ni kundi maalum katika jamii ambao wanazaliwa katika mwaka uliopo katika kundi la namba shufwa na sio shufwaa
Labda ni .wenywji sana au maatufu katika hilo eneoLeo jamaa yangu ameniboa, tukipiga hatua kidogo atasimama kusalimiana na watu, hivi hii hali kama ilishakutokea ulifanya nini? Je, ulimuacha au ulikuwa unamsubiria?
Noma sanaKuna jamaa mmoja aisee....
Namuachaga atanikuta nishafika.
Ni mwendo wa kusalimia na kukutambulisha kwa watu.
Anafuata maagizo ya Yesu, kuwa salimia kila mtu.Leo jamaa yangu ameniboa, tukipiga hatua kidogo atasimama kusalimiana na watu, hivi hii hali kama ilishakutokea ulifanya nini? Je, ulimuacha au ulikuwa unamsubiria?