Hivi ulishawahi kutembea na mtu barabarani anamsalimia kila mtu?

Hivi ulishawahi kutembea na mtu barabarani anamsalimia kila mtu?

Leo jamaa yangu ameniboa,tukipiga hatua kidogo atasimama kusalimiana na watu,hivi hii hali kama ilishakutokea ulifanya nini?jee ulimuacha au ulikuwa unamsubiria?
Huyo ni mtu wa watu, ni kundi maalum katika jamii ambao wanazaliwa katika mwaka uliopo katika kundi la namba shufwa na sio shufwaa
 
Hao ni wale ma aluwatanii hawanaga baya hao watu hata mm natamani nngekua mtu wa dizaini hyo
 
Leo jamaa yangu ameniboa, tukipiga hatua kidogo atasimama kusalimiana na watu, hivi hii hali kama ilishakutokea ulifanya nini? Je, ulimuacha au ulikuwa unamsubiria?
Labda ni .wenywji sana au maatufu katika hilo eneo
 
Leo jamaa yangu ameniboa, tukipiga hatua kidogo atasimama kusalimiana na watu, hivi hii hali kama ilishakutokea ulifanya nini? Je, ulimuacha au ulikuwa unamsubiria?
Anafuata maagizo ya Yesu, kuwa salimia kila mtu.
 
Kusalimia salimia watu ni dalili ya kutokuwa na hela.
 
Back
Top Bottom