Hivi ulitongozaje siku ile ulipotongoza kwa mara ya kwanza?

Hahaha
 
Niliandika barua na kwa sabab nilikuwa na mwandiko over kisigino nkampa best yangu mmoja akaipaste, nikamimina na mapoda ya kufa mtu, nkachora kaapicha ka love, alivoona mwandiko ulivotoka akajua kapata mtu kumbe ya kupaste, baadae aliKuja nitosa .
Hahaha
 
Moja kwa moja mpaka kwenye mamba ya kuanikia nguo pale nyumbani kwao, ni bahati iliyoje nikakuta chupi yake nyeupe umeanikwa so nilichoganya ni kuandika jina langu na maneno I love yu so much.
Siku iliyofuata ili kuhakikisha kuwa amepata ujumbe wangu nilikuwa namwangalia dararasani kwa kuibia ibia nikagundua na yeye aniangalia, ikawa ndiyo furaha yangu.

Yule mtoto ni mtamu jamani asikuambie binadamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…