PSL god
JF-Expert Member
- Nov 18, 2023
- 8,435
- 6,476
daah,watu wakali mi ilikuwa ni siku ya valentine nilinunu zawadi kidogo kama pipi nyingi na karatasi yenye ujumbe wa mapenzi nikampa mshkaji wangu aipeleke, alikubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
daah,watu wakali mi ilikuwa ni siku ya valentine nilinunu zawadi kidogo kama pipi nyingi na karatasi yenye ujumbe wa mapenzi nikampa mshkaji wangu aipeleke, alikubali
UpmIla sredi hii ina ubaguzi,
ina mana sisi wanawake hatuwezi kutongoza?
Wengine tuna vipaji kama wanaume.
Hahahamie nakumbuka niliandika barua tuu kuwa nakutaka
Hahahadah! Me napitia mitaaa ileeeeee,wanakuja wenyew...napanda dau then naopoa....siumizi kichwa mkuu...
Hahahakuna jamaa alikuwa bingwa wa kuandika barua za mapenzi nilimtumia huyo kwa ofa sigara mbili za Nyota, barua aliyonitungia huyo staa nilimpa mdogo wangu wa kike aipeleke kwa demu wangu mtarajiwa. Ilinichukua mieze miwili kupata majibu, hata hivyo nilikubaliwa na sasa tuna watoto wanne,first born anasubiri jina lake litoke TCU!
HahahaNiliandika barua na kwa sabab nilikuwa na mwandiko over kisigino nkampa best yangu mmoja akaipaste, nikamimina na mapoda ya kufa mtu, nkachora kaapicha ka love, alivoona mwandiko ulivotoka akajua kapata mtu kumbe ya kupaste, baadae aliKuja nitosa .
HahahaWatoto wa siku hizi hawakawii kutafuta kamusi kuangalia "kutongoza" maana yake nini.
😅😅😅
Bado unanikwepa tu!!!
Hii ni Kali mkuuNilimuambia "Samahani Irene naomba tujamiane" aise alicheka japokuwa alikuwa ananinipenda na akanifundisha kuwa "Wenzio hawasemi hivyo" nilijiona box sana ila nilikuwa sijabarehe.