Hivi ulitongozaje siku ile ulipotongoza kwa mara ya kwanza?

Hivi ulitongozaje siku ile ulipotongoza kwa mara ya kwanza?

kuna jamaa alikuwa bingwa wa kuandika barua za mapenzi nilimtumia huyo kwa ofa sigara mbili za Nyota, barua aliyonitungia huyo staa nilimpa mdogo wangu wa kike aipeleke kwa demu wangu mtarajiwa. Ilinichukua mieze miwili kupata majibu, hata hivyo nilikubaliwa na sasa tuna watoto wanne,first born anasubiri jina lake litoke TCU!
Hahaha
 
Niliandika barua na kwa sabab nilikuwa na mwandiko over kisigino nkampa best yangu mmoja akaipaste, nikamimina na mapoda ya kufa mtu, nkachora kaapicha ka love, alivoona mwandiko ulivotoka akajua kapata mtu kumbe ya kupaste, baadae aliKuja nitosa .
Hahaha
 
Moja kwa moja mpaka kwenye mamba ya kuanikia nguo pale nyumbani kwao, ni bahati iliyoje nikakuta chupi yake nyeupe umeanikwa so nilichoganya ni kuandika jina langu na maneno I love yu so much.
Siku iliyofuata ili kuhakikisha kuwa amepata ujumbe wangu nilikuwa namwangalia dararasani kwa kuibia ibia nikagundua na yeye aniangalia, ikawa ndiyo furaha yangu.

Yule mtoto ni mtamu jamani asikuambie binadamu.
 
Back
Top Bottom