Hivi umefanikiwa kusamehe kila jambo linalokutokea au lililokutokea kwenye maisha yako?

Mama Mwana

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2023
Posts
2,435
Reaction score
7,784
Haya maisha haya, unakutana na mambo mengi sana ya kukuumiza moyo na kukufurahisha yes dunia imeumbwa hivyo.

je wewe umeweza kusamehe kila jambo lililokutokea au linalokutokea katika maisha yako? mimi nimeshindwa, kuna watu bwana nilikua nao very close, katika maisha yetu mimi ndie nilikua nakwenda kuwatembelea.

Nikisikia wanaumwa nishafunga safari, nikijua tu nina muda sijaonana nao najikuta nishafunga safari, ikumbukwe hapo ninapokaa ni karibu na barabara kuu, yani huwez kua una safari ya mjini au kurud bila kupita ninapokaa lakini hakujatokea hata mmoja kuja kunitembelea na ukiona umetembelewa ujue mtu alikua anakuja eneo la jiran ulilopo ndio mtu anapita.

Kisa kinakuja hapa kuna mambo flan flani niliyataka yafanyike kwao, hawa ni ndugu zangu upande wa baba, bas pia wakanipigisha danadana lisifanyike na maneno ya kejeli nikaona isiwe kesi jambo likafanyikia nyumban kwa wazazi wangu, since then nimekua na hasira nao kiasi nashindwa kumove on.

Yaani hata ile kwenda kuwatembelea sifanyi tena na mimi naweza kuwa nnashida na maeneo waliyopo nahata nisiende na naweza kupanga kabisa ngoja niende moyo wangu ukawa mzito mpaka naghairisha kuna mmoja nilikutana naye ananiuliza mbona huji siku hizi nilimjibu tu nimechoka kufatafata watu ambo sioni umuhim wao kwangu nikampa ukweli wa moyo lakini bado nafsi yangu kama ina kinyongo dhidi yao nifanyeje iniepuke hii hali?
 
Huwa nabalance tu matarajio yangu ili mtu akinitendea ubaya nisione kama ni kitu kipya.

Ila Ukiona nafsi yako hajaridhia kuendelea nao katika maisha, ongeza distance kati yenu lakini usitangaze vita nao kwa sababu haina haja ya kutengeneza maadui zaidi au kuweka vinyongo ambavyo mwisho wa siku vinakutesa hadi unaanzishia uzi, ishi maisha yako huku ukibalance shobo 🙏🏽🙏🏽
 
Tuvitu tudogo kama hutwo tupuuzie tu kuna watu tumepigwa matukio heavy na ndugu, nimesamehe ila sijasahau ni kubadili namna tu kukata ukaribu una assume amekufa na sometimes kwenye sherehe au misiba siwasalimii nawapaje muhaho nawatesa vibaya mno
 
Pole sana, tena sana! Kibinadamu si rahisi kusamehe ulipoumizwa. Yataka neema ya Mungu.

Natoa ushauri tu, kwa mtu yeyote aliye katika hali ya kupitia machungu (bitterness), kutelekezwa au kukataliwa (rejection), msongo wa mawazo (stress) au mfadhaiko/upweke (depression), aanze kufanya au kufikiria lolote lililo zuri, lolote lililo safi, lolote lenye haki, lolote lenye staha, lolote lenye sifa njema, lolote lenye ukweli, lolote lenye kupendeza na lolote lenye heshima katika maisha.

Pili, mshukuru Mungu kwa kukupa uhai na uzima ulionao sasa, ambapo unapumua vizuri wakati wengine wamelazwa hospitalini au wameishakufa. Mungu kakuongezea siku ya leo ili utimize kusudi lake alilokuleta duniani, ikiwemo kumwabudu Yeye pekee katika roho na kweli.

Tatu, mwombe Mungu auchunguze moyo wako kama kuna yoyote uliyowakosea, kuwakwaza au kuwaumiza wengine maana hakuna mkamilifu.

Nne, tubu kwa Mungu makosa yako na tubu kwa uliowakosea kama wapo karibu au unaoweza kuwasiliana nao. Aidha, mwombe Mungu akupe neema ya kuwasamehe bure wote waliokukosea, kukukwaza au kukuumiza.

Kisha, kwa kumaanisha moyoni mwako popote ulipo sema hivi: "Yesu Kristo karibu moyoni mwangu uniokoe niwe mwana wa Mungu kwa kuzaliwa upya rohoni na kuongozwa na Roho Mtakatifu."

Amani utakayoipata moyoni mwako ni ya pekee sana! Mpe Mungu utukufu, sifa, heshima na shukrani.
 
Haya maisha haya, unakutana na mambo mengi sana ya kukuumiza moyo na kukufurahisha yes dunia imeumbwa hivyo.

je wewe umeweza kusamehe kila jambo lililokutokea au linalokutokea katika maisha yako? mimi nimeshindwa, kuna watu bwana nilikua nao very close, katika maisha yetu mimi ndie nilikua nakwenda kuwatembelea.

Nikisikia wanaumwa nishafunga safari, nikijua tu nina muda sijaonana nao najikuta nishafunga safari, ikumbukwe hapo ninapokaa ni karibu na barabara kuu, yani huwez kua una safari ya mjini au kurud bila kupita ninapokaa lakini hakujatokea hata mmoja kuja kunitembelea na ukiona umetembelewa ujue mtu alikua anakuja eneo la jiran ulilopo ndio mtu anapita.

Kisa kinakuja hapa kuna mambo flan flani niliyataka yafanyike kwao, hawa ni ndugu zangu upande wa baba, bas pia wakanipigisha danadana lisifanyike na maneno ya kejeli nikaona isiwe kesi jambo likafanyikia nyumban kwa wazazi wangu, since then nimekua na hasira nao kiasi nashindwa kumove on.

Yaani hata ile kwenda kuwatembelea sifanyi tena na mimi naweza kuwa nnashida na maeneo waliyopo nahata nisiende na naweza kupanga kabisa ngoja niende moyo wangu ukawa mzito mpaka naghairisha kuna mmoja nilikutana naye ananiuliza mbona huji siku hizi nilimjibu tu nimechoka kufatafata watu ambo sioni umuhim wao kwangu nikampa ukweli wa moyo lakini bado nafsi yangu kama ina kinyongo dhidi yao nifanyeje iniepuke hii hali?
FB_IMG_1689897160035.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisa kinakuja hapa kuna mambo flan flani niliyataka yafanyike kwao, hawa ni ndugu zangu upande wa baba, bas pia wakanipigisha danadana lisifanyike na maneno ya kejeli nikaona isiwe kesi jambo likafanyikia nyumban kwa wazazi wangu, since then nimekua na hasira nao kiasi nashindwa kumove on.
Rafiki, mtegemee MUNGU zaidi kuliko wanadamu
 
Huwa nabalance tu matarajio yangu ili mtu akinitendea ubaya nisione kama ni kitu kipya.

Ila Ukiona nafsi yako hajaridhia kuendelea nao katika maisha, ongeza distance kati yenu lakini usitangaze vita nao kwa sababu haina haja ya kutengeneza maadui zaidi au kuweka vinyongo ambavyo mwisho wa siku vinakutesa hadi unaanzishia uzi, ishi maisha yako huku ukibalance shobo 🙏🏽🙏🏽
I totally agree with you,. Mtu akikufanyia ubaya unamsamehe, una take note, na kukaa naye mbali sana. Dunia ina mchanganyiko wa watu wema na wabaya, wako positioned in a way lazima ukutane nao, so you get rid of those wabaya kila unapokutana nao na kuendelea na safari. Ni zoezi endelevu.
 
Tuvitu tudogo kama hutwo tupuuzie tu kuna watu tumepigwa matukio heavy na ndugu, nimesamehe ila sijasahau ni kubadili namna tu kukata ukaribu una assume amekufa na sometimes kwenye sherehe au misiba siwasalimii nawapaje muhaho nawatesa vibaya mno
sasa hawa hawa wanasema hawajui walichonikosea sio kwamba sina matukio mazito ninayo dada shida ni hii hili limenishinda kabisa kulichilia
 
I totally agree with you,. Mtu akikufanyia ubaya unamsamehe, una take note, na kukaa naye mbali sana. Dunia ina mchanganyiko wa watu wema na wabaya, wako positioned in a way lazima ukutane nao, so you get rid of those wabaya kila unapokutana nao na kuendelea na safari. Ni zoezi endelevu.
hilo ndilo nililifanya, kua mbali kujitenga ila naona kama haitoshi
 
Back
Top Bottom