Hivi umefanikiwa kusamehe kila jambo linalokutokea au lililokutokea kwenye maisha yako?

mbona unanifundisha sala zisizokua zangu? kuwasamehe nimejitahidi ila siwez tu kua kama mwanzo
 
nilimjibu tu nimechoka kufatafata watu ambo sioni umuhim wao kwangu nikampa ukweli wa moyo lakini bado nafsi yangu kama ina kinyongo dhidi yao nifanyeje iniepuke hii hali?
Fanya majirani zako kuwa ndugu zako kwa kuwatembelea na wewe kuwakaribisha kwako.

Hao ndugu zako wa damu wapotezee tu
 
okay
 
Komenti nzuri sana hii bageshi/nkamu.

Ubarikiwe!
 
Naimekuelewa sana, binadamu hawana jema Kabisa bora kumtegemea Mungu tu maana hatakuacha.
 
Kusamehe kwa binadamu wengi huwa ni shida,lakini kama kweli umedhamiria kusamehe na unashindwa,omba Mungu kila siku akupe nguvu ya kusamehe kama yeye anavyotusamehe dhambi zetu,kwakuwa yeye anaona dhamira iliyoko ndani ya moyo wako atakujalia hiyo neema na iko siku hata hutawakumbuka wala kuumia tena...
 
ohh thank you 😘
 
hlf et mimi kuwapa distance sasa ndio naonekana kubwa la maaduu
Ndio ile wanasema mkuki kwa nguruwe mtamu ila kwa binadamu mchungu, kama mkikutana unawasalimia hiyo inatosha kabisa (ibaki heshima tu).

Endelea tu na mipango yako mingine ili wajue na wewe una msimamo na maisha yako binafsi, tena usikubali tena kuingia chini ya waliokutelekeza maana watakudharau tu.
 
Cha msingi ni wewe kujuwa kuishi jinsi ambavyo unataka,usitarajie mambo makubwa kutoka Kwa watu wengine,tarajia kutoka kwako,kama unataka wakusalimie Anza wewe kuwasalimia halafu utaona Kila mtu anaanza kutaka kukusalimia,kukujulia Hali kama hivyo. Usiogope kwamba watu wengine wanakuonaje,wakati ule utakapofikia mahali ukasema liwalo na liwe basi utakuwa huru katika nafsi. Unajuwa Kuna wakati unajikuta uko na watu lakini rohoni mwako unajuwa Hawa Niko nao TU sababu ya nidhamu ya uoga. Kataa uoga kuwa huru.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mbona unanifundisha sala zisizokua zangu? kuwasamehe nimejitahidi ila siwez tu kua kama mwanzo
Sala itakayokusaidia ndiyo yako! Isiyokusaidia achana nayo kama unaweza, uko huru kuamua. Yesu ni wa walimwengu wote, si kwa wajiitao wakristo tu kwa jina. Mungu alimtoa kwa ukombozI wa watu wote ukiwemo wewe.

Kama nilivyosema awali kusamehe kibinadamu ni ngumu ikiwa umeumizwa, yataka neema ya Mungu. Yote kwa yote, nakuonea sana huruma na nikupe pole tena.
 
kitu pekee kinaniumiza kichwa wazazi wangu wananiambia nisilipe baya kwa baya et hata hio distance nikama nimewalipa kutokana na wanayoyafanya niendelee kuwafata fata tu kitu ambacho moyo wangu umegoma katu katu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…