Hivi umefanikiwa kusamehe kila jambo linalokutokea au lililokutokea kwenye maisha yako?

yani kuna watu hum duniani wanachotaka nibwasiklizwe wao, na hivyo wapo age kubwa baaas na ule msemo wa kinafki et mtu mzima hakosei, wtf!! mimi n mtu wa kujichanganga but once ukijiresi vibaya kwangu nikasema its enough ujue imeeenda hio sasa naambiwa usilipe baya kwa baya kwa hio mimi nitakua natenda wema tu wao wanilipe ubaya?? hakunaga biashara iso na faida kama haina faida unaachana nayo ndio hii ya hawa ndugu lawama
 
Exactly brother 👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
 
Kwanza lazima ukubali toka awali ulikosea namna unavyohusiana nao,ulishindwa kubalance shobo,unawezaje kutembelea watu mfululizo hivyo wakati wao hawana time na wewe?
Why ulijua kujipa umuhimu mahali ambapo umuhimu wako watu hawauoni?
Usirudie hili kosa kwenye safari yako ya maisha la sivyo utateseka sana.
Mojawapo ya kanuni zangu zinazonisaidia sana ni kujua kubance shobo,yaani mahali ambapo sina umuhimu na sihitajiki huwa silazimishi nachukua 50% zangu kiroho safi.kwa sasa omba Mungu uweze kuwasamehe na usiruhusu ukaribu nao
 
Simple tu.Unaposali waombee halafu wabariki kwa mema unayoyajua wanatenda.Yale mabaya jifunze kuelewa kuwa hawajui kuwa wanayafanya[emoji16]
 
kaimba nani
 
😂😂Basi komaa na nafsi yako km huwategemei kula wala kwa chochote achana nao futa mbwa hao
na ndio kitu nilikua nafanya nadeal na mambo yangu nikikutana nao salam lakini kama mwanzo kuwafuata sitaki sasa hapo tu ndio wameona ninakosea wapuuzi wale
 
tangu nijitambue kwamba mimi ndio nachapa kwato kuwafuata nikaacha sasa kitendo cha kutowafata fata tena naonekana mm ndio mbaya wanasahau yao ijapokua hayaniumizi kichwa lakini moyo umekua mzito kuchangamana nao tena huku wazaz wakinikalia kooni nisitende baya kwa baya na maisha sio hivo najiuliza vitu vingi wao waliona namna ilivyokua mpaka kufikia hapo why wanifanye mtumwavwa kua down to earth wakat nafsi yangu imegoma kabisa
 
wazazi wangu hawanielewi, wananambia ubaya hulipwi kwaubya na kunilazimisha niendeleze mambo za kuwafata fata ambapo n kitu kimenishinda


Wazazi wako wapo sahihi, ni wajibu wao kukukumbusha mambo Kama hayo na kusisitiza umoja kati yenu, ninyi ni ndugu wa damu.

Lakini sio kila alisemalo mzazi ulifanye, samehe saba mara sabini huku ukikumbuka kwamba hata wewe sio mkamilifu na kuna watu pia unawakosea ama wameumizwa nawe hata sasa.

Badiri routine yako, acha kuwatembelea na ukiulizwa kwanini kuwa muwazi, sema Ukweli wa vile unavyojisikia juu ya mahusiano yenu.

Husithubutu kuishi na kinyongo rohoni, ni source ya maradhi mengi mwilini na Kama ni chuki kali basi kansa haitokuacha.

Tujifunze kuuishi Ukweli uliopo ndani yetu na kusimama imara juu ya maamuzi yetu bila kuyumbishwa na matendo na maneno ya wengine juu yetu.

Be [emoji817] % YOU and the rest of the World will adjust.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…