Hivi Umeme wa JNHEPP hautoshi kuendesha SGR? Mbona kama ni maajabu?

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Chuma Hayati Magufuli, Alipigaga tu Marufuku Umeme kukatika katika, kweli banaaa Biashara ya Majenereta ikafa.


Baada ya Mama kushika Hatamu, Licha ya kua ana JNHEPP Umeme bado unakatika tu.

SGR yenyewe ndo mnajionea, Wamiliki wa Ma Bus hao 🤣.

Sio kwamba Hana Taarifa, anazo sema anazipuuza .


KUNA ULAZIMA WA DOLA, KUHAKIKISHA MAMA ANAPUMZIKA , MWAKA HUU ALETWE KICHAA MMOJA AMBAYE ATAUKOMESHA HUU UFEDHULI.
 
Sio kwamba watu hawamuogopi Samia ila hana uwezo wa kuongoza Taifa hili.
 
Umeme unakatika kutokana na uchakavu wa miundombinu ya TANESCO na sio uhaba wa umeme.
 
Njia za usafirishaji umeme ( infrastructure) ndiyo tatizo.
 
Bwawa likianza kazi UMEME bei CHINI......bado mijitu inavaa manguo ya mbogamboga fc...aisee uchawi upo!!
 
Mbona fedha nyingi zilitolewa ili kurekebisha miundo mbinu ya umeme. Kulikoni?.
 
Hivi ni kweli tumbili au kunguru zinasababishaga Treni ya SGR isimame?? Wanakuwa wamezubaa sana hadi kushindwa kuisikia Treni ikikaribia?🤭
 
Duh, sgr inaedeshwa Kwa umeme wa Tanesco? Kwani mradi umekamilika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…