Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Chuma Hayati Magufuli, Alipigaga tu Marufuku Umeme kukatika katika, kweli banaaa Biashara ya Majenereta ikafa.
Baada ya Mama kushika Hatamu, Licha ya kua ana JNHEPP Umeme bado unakatika tu.
SGR yenyewe ndo mnajionea, Wamiliki wa Ma Bus hao š¤£.
Sio kwamba Hana Taarifa, anazo sema anazipuuza .
KUNA ULAZIMA WA DOLA, KUHAKIKISHA MAMA ANAPUMZIKA , MWAKA HUU ALETWE KICHAA MMOJA AMBAYE ATAUKOMESHA HUU UFEDHULI.