EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Nyie ndo mnatutiaga hasira ๐ก ๐ก ๐ก ๐กIli apate 'stata' ya kutamka maneno.... zamani tukiwa wadogo tulikuwa tunamtania, akianza kuongea mnamwambia "subiri", mnamsogeza kwenye mti au ukuta au kitu chochote anachoweza kukipiga ili aweze kuongea then mnamwambia "haya, endelea sasa"๐๐๐
Ila sasa hivi naona kinapungua.