Hivi umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye kigugumizi?

Hivi umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye kigugumizi?

Nawafahamu wawili wanavyo, ila ni vyakawaida, sio vikali sana.

1. Kimemfanya anaongea haraka, sometimes haeleweki.

2. Kimemfanya anaongea taratibu. Maskini mdogoangu,
anaweza ongea af akanyamaza ghafla ukadhani kamaliza,
ukianza kuongea nae anarudi ulingoni. Huyu hafanyi
kukwama kwama kwa maneno, pumzi inakwambia kifuani
kabla hajayasema, so kikimshika anakua kimya kabisa
kwa sekunde kadhaa.
Naomba namba ya mdogo wako
 
Thanks. Nilivyokuwa mdogo ilikuwa balaa zaidi nikitaka kuongea hadi nipige mguu chini, yaani nitahangaika hapo utanionea huruma, pumzi sijui nini inakata kabisa nashindwa kuongea. Now kipo ila nimeweza kumanage kuongea kwa pozi, ila nikiwa na hasira au uwoga kinakuja kwa kasi.
Yaweza kua ni anxiety ndiyo imesababisha hivyo
 
Ni mazoezi ya kuongea, jifunze kuongea taratibu weka pose ukiona unakwama. Imenichukua muda mrefu sana kukipunguza, sasa hivi sikfikirii sana kama zamani yaani ilikuwa ikibidi niende seheme kama ni kwenye maofisi au sehemu ya muhimu lazima nikose usingizi kuwaza nitaongeaje.
Siiku hizi Hadi nasahau kama nina kigugumizi ila huwa kinakuja nikiwa nina hasira au uwoga .
Sitasahau nilivyoshindwa kuongea hata neno moja kwenye interview ya Zantel..nilinyanyuka na kuondoka.
Hiyo njia ya kuongea taratibu inanisaidia sana, yaani naongea kama vile nimechoka kuongea😀😀. Kumbe nikikazana hivi kitaisha chenyewe sio..
Ila kama usemavyo, nikiwa na hasira kinakuja kwa kasi kiasi nashindwa hata kuongea. Ila utaona jicho jililivyoiva kama nyanya...
 
Achana na kigugumizi, Kuna wale madem ukiwa unawagegeda wakinogewa wanaanza kuongea vusivyoeleka au vusivyohusiana.

Utasikia "SIJAWAHI KIFANYA, NI WEWE TU, HAKIYAMUNGU SIJAWAHI..SITAKUSALITI..NINAAPA MBELE ZA MUNGU, UNANIFIKISHA..NITAKUWA NAKUPA KILA UKITAKA NISAMEHE KWA LEO..NAOMBA UNISAMEHE. SIJAWAHIIII MMMIMMIIII..WEWWWEEE NDDOO WA KWANZAAA.."

wakati huo umekuta mbunye Ni Hollywood (hole) afu anakwambia hajawahi kufanya..shenz kabisa
 
Duh, kigugumizi kinatesa sana....kuna huyo mwamba hadi apige kitu ndo aongee...kwa hiyo akiwa anaongea unakaa nae mbali kidogo, la sivyo utakula mabanzi ya maana....
Acha kutunanga aisee, anakupigaje banzi??
 
Hiyo njia ya kuongea taratibu inanisaidia sana, yaani naongea kama vile nimechoka kuongea[emoji3][emoji3]. Kumbe nikikazana hivi kitaisha chenyewe sio..
Ila kama usemavyo, nikiwa na hasira kinakuja kwa kasi kiasi nashindwa hata kuongea. Ila utaona jicho jililivyoiva kama nyanya...
Nilikesha kwenye internet kusoma jinsi ya kuongea na kukipunguza. Nashukuru imenisaidia sana.
Siku hizi nikiwa na hasira siongei ila Kama najibizana na mtu kwa msg atajuta kuzaliwa ninavyoporomosha maneno [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Acha kutunanga aisee, anakupigaje banzi??
Ili apate 'stata' ya kutamka maneno.... zamani tukiwa wadogo tulikuwa tunamtania, akianza kuongea mnamwambia "subiri", mnamsogeza kwenye mti au ukuta au kitu chochote anachoweza kukipiga ili aweze kuongea then mnamwambia "haya, endelea sasa"😂😂😂
Ila sasa hivi naona kinapungua.
 
Ili apate 'stata' ya kutamka maneno.... zamani tukiwa wadogo tulikuwa tunamtania, akianza kuongea mnamwambia "subiri", mnamsogeza kwenye mti au ukuta au kitu chochote anachoweza kukipiga ili aweze kuongea then mnamwambia "haya, endelea sasa"[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila sasa hivi naona kinapungua.
[emoji3][emoji3] wabaya sana nyie
 
Kipindi nipo chuo nilikuwa na rafiki mwenye kigugumizi..akiongea Mara ya kwanza Kama hukumuelewa ukamuuliza tena basi atapiga kelele hiyo..anamalizia na neno "nyama weeh"..nilikuwa nacheka Sana .
 
Kipindi nipo chuo nilikuwa na rafiki mwenye kigugumizi..akiongea Mara ya kwanza Kama hukumuelewa ukamuuliza tena basi atapiga kelele hiyo..anamalizia na neno "nyama weeh"..nilikuwa nacheka Sana .
😂 😂 😂 😂 😂
Aiseeee.....
 
Wapo wengi, ila pozi zao hutoweza kugundua kama anacho...

Ila kuna mmoja namfahamu yeye kuongea mpaka ajipige pige hips ndiyo maneno yanatoka...



Cc: mahondaw
 
😂 😂 😂 😂 😂
Aiseeee.....
😂😂😂😂
Nimemiss kelele zake..dah!!
Alikuwa akiongea neno Kuna muda anakwama Sasa nilikuwa namsaidia kumalizia neno analotaka kutamka..mfano tulienda..anavyoivuta Sasa..namwambia enhee mlienda..uwii alikuwa anachukia 😂😂 ..nakumiss Mary wngu
 
Back
Top Bottom