Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Naomba namba ya mdogo wakoNawafahamu wawili wanavyo, ila ni vyakawaida, sio vikali sana.
1. Kimemfanya anaongea haraka, sometimes haeleweki.
2. Kimemfanya anaongea taratibu. Maskini mdogoangu,
anaweza ongea af akanyamaza ghafla ukadhani kamaliza,
ukianza kuongea nae anarudi ulingoni. Huyu hafanyi
kukwama kwama kwa maneno, pumzi inakwambia kifuani
kabla hajayasema, so kikimshika anakua kimya kabisa
kwa sekunde kadhaa.