Hivi umeshawahi kukutana na mwanamke mwenye kigugumizi?

Nyie ndo mnatutiaga hasira 😑 😑 😑 😑
 
I feel you.,
Hadi nili'google ili nijisomee zaidi about it

ni kweli its involuntary na inaanzia utotoni
Tiba as u said pia ni kama nilivyosoma wanaita 'speech therapy'..mazoezi ya kujifunza hizo style za kuongea with 'pauses' kuendana na how u feel ama maneno yanavyokuja

Hongera kwa kukimudu

My source

Na ni kweli wanaume wanaathiriwa zaidi na hii hali kuliko wanawake.,ratio 4:1,
 
4 kwa 1! Ratio ni kubwa sana...ndiyo maana binafsi sijawahi kukutana physically na mwanamke mwenye kigugumizi....ndo kwa mara ya kwanza nawaona kwenye huu uzi...
 
πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Kwa sisi wenye kigugumizi hiyo tabia huwa inatukera sana.
 
Safi.
 
Nilikuwa nacho nilipokuwa mdogo, Nilipoona nimeuchoka huo ugonjwa, nikaanza kuusoma taratibu.

Nikajua ni maneno ya aina gani hiwa yananitesa kuanza kuongea (SIRI IPO HAPO)

Nilipojua, nikaacha kuyatumia kama maneno ya funguzi za sentensi zangu, nikayatafutia maneno ambayo kwangu ni malaini kuyatamka, nikawa naanza nayo then haya magumu nayaweka kati.

Kigugumizi kikaanza kupotea taratibu,

Japo sometimes tumekuwa tukikitumia kwa faida yetu...

Mf. Niliwahi kumtesa mwalimu wangu wa hesabu kwenye table, muda ninaoweka kigugumizi ndio niliotumia kupiga hesabu za kichwa.

Nilipokuwa na misala nilikiongeza hivyo unakuta mtu anaishia kucheka na kukuacha..

Sasaivi nimezeeka napiga maneno kama cherehani na unaweza usijue kama nina kugugumizi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…