Hivi umewahi kumpiga girlfriend wako?

Hivi umewahi kumpiga girlfriend wako?

Empiree

Senior Member
Joined
Jun 20, 2020
Posts
102
Reaction score
256
Tupe na Experience alizingua nini?[emoji23]

Mimi niliiba simu yake nikazama kwenye Messages. Kufanya upembuzi nikakuta anachati na mwamba anamsifia eti ni mtamu! [emoji23][emoji23]

Nikamuuliza huyu nani? Akabaki kimya! Nilimrukia buti kama la Van damme [emoji2]. Nilimpiga mpaka akazima.

Eti akataka kunipeleka Polisi, baadaye familia ikaongea na familia yao wakayamaliza. Ikapita kama mwezi hivi tukaja kukutana nikamuomba msamaha akakubali tukarudiana [emoji2]
 
Mimi nilimkata makofi hata kaa asahau sababu alizidisha dharau na sipendagi ujinga na mahusiano yakafa hapo hapo. Sasa hivi ni single mother full kunipigia simu anaomba hela ya maziwa ya mtoto.Sipokeagi wala sijibu text zake.
 
Sent from my SM-A015F using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] mkuu kama mtoto ni wako we muhudumie tu
 
Back
Top Bottom