Hivi umewahi kumpiga girlfriend wako?

Daaah nilimcharaza mboko za kutosha baada ya kuniletea dharau badae nikambembeleza yakaisha ila aliahid hatokuja kunisahau
 
Tumemlea hapa nyumbani na tunampenda kama wetu wa kumzaa na mke wangu baada ya kuja kujua ukweli aliwanyonyesha wote yaani sasa hivi ni mwendo wa kuitwa baba wawili
Hongera sana!!sisi katika imani yetu ya kiislamu mtoto anaenyonya ziwa la mama mwingine huyo anahesabika kama mama ake wa kumzaa...hvyo hawaoani ndugu wa hilo tumbo!MPE hongera Wifi yangu Mungu atamlipa kwa kila jema lake ana huruma huyo mkeo apart from vitu vingine vyote!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Aise ni story ndefu maana kipindi hicho na mke wangu alikuwa na mtoto mchanga ila sijui huyu niliyemkuta mgombani alikuwa ana siku ngapi kwa haraka ukimuangalia ni kama wanalingana ila namshukuru Mungu wamekua pamoja na sasa hivi kama mapacha
Allah akuzidishie kheri[emoji120]
 
Mbona ndugu zetu waislam mkizaa nje ya ndoa mwanaume ana mtelekeza mtoto mnasema mtoto ni wa mwanamke na hamtoe huduma kwa mtoto je dini ndivyo inavyo taka mwanaume kufanya hivyo?
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Aise ni story ndefu maana kipindi hicho na mke wangu alikuwa na mtoto mchanga ila sijui huyu niliyemkuta mgombani alikuwa ana siku ngapi kwa haraka ukimuangalia ni kama wanalingana ila namshukuru Mungu wamekua pamoja na sasa hivi kama mapacha
Mungu awabariki sana ni wachache wenye mioyo kama hiyo
 
Mbona ndugu zetu waislam mkizaa nje ya ndoa mwanaume ana mtelekeza mtoto mnasema mtoto ni wa mwanamke na hamtoe huduma kwa mtoto je dini ndivyo inavyo taka mwanaume kufanya hivyo?
Tofautisha hyo kesi hapo!!nimesema huyo mama alomnyonyesha sio baba!!mama huyo tayari huyo mtoto ni mzazi wake!

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]my wangu hutaki kutoa utamuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…