Hivi umewahi kumpiga girlfriend wako?

Hivi umewahi kumpiga girlfriend wako?

Weeee mimi mtoto wa mtu hajanipiga [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani ndio atajua kwanini baba yangu haijawai kumpiga mama yangu hata siku moja anaishiaga kusema tu
 
Kuna mshikaji aliniita kwake tuzungumze kuhusu issue ya pesa(Kuna biashara huwa tunafanya).Ghafla akanibadilikia anataka mzigo, nikamnyima na kutoka nje .

Akanifuata huku anabembeleza, nikakataa aise kilichofuata alinipiga mtama na ngumi na mimi nikaanza kumngata na kuminya makorodani yake mpaka mlinzi akaja kutuamulia...

Ila dah, unampiga mwanamke kisa umenyimwa mzigo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Kuna wanaume vilaza kweli.
 
[emoji1787][emoji1][emoji2] alikuwa ana kupiga au alikuwa ana taka kukubaka.
 
Ananipima ngumi why nambania mbususu utafikiri ya kwake[emoji23][emoji23][emoji23]
Labda alikuwa ana kusaidiaga vitu vingi kwa kutegemea na wewe uta mpatia mbususu kumbe akili yako na yake ina taka vitu viwili tofauti
 
Vichwa vya wanawake sijui vina nini yani!Mi bhana siku hiyo nilikuwa naenda mazoezi asubuhi alfajiri,nikasikia katoto kachanga kanalia kwenye migomba maana ni njia yangu nayopitia,basi bhana mi nikamchukua yule mtoto nikarudi naye nyumbn.Kufika hata sijaanza kuelezea imekuwaje nimerudi na mtoto nimemtoa wapi mtu mzima nikasukumwa ht sijui katoka wapi wife kama zimwi.Aise nilipiga kama naua nyoka.Mpaka leo hajawahi rudia upuuzi wake wa kunijaribu jaribu kama nguo ya kuvaa..
 
Mtoto anaendeleaje?
 
Popote alipo kibonge huyu awe soda jf watalipia!!!!
Mi sitarudia maana nilijitia ujasusi na ukomandoo alikuwa dada fulani hivi chibonge kiasi ktk kurukaruka taikondo na taichii zangu si nikakosea nikaachia korodani zikakaa usawa wake!,na alivyo na kiganja kilichojaa nyie acheni tu nilibinywa mpaka kibofu kilijaa ghafla niliutoa mkojo ulikuwa wabaridi ikabidi aniachie tu!.
Hiyo ndio siku niliyotumbua jicho mithiri ya Ng'ombe anaangalia kitu cha nyuma ila kaelekea mbele!. Ukitaka kupigana na ke jihadhari Sana na kende zako
 
Mimi sijawahigi piga manzi angu yeyote hata kibao cha bahati mbaya na sitegemei kabisa kufanya ivo..
 
Mi sitarudia maana nilijitia ujasusi na ukomandoo alikuwa dada fulani hivi chibonge kiasi ktk kurukaruka taikondo na taichii zangu si nikakosea nikaachia korodani zikakaa usawa wake!,na alivyo na kiganja kilichojaa nyie acheni tu nilibinywa mpaka kibofu kilijaa ghafla niliutoa mkojo ulikuwa wabaridi ikabidi aniachie tu!.
Hiyo ndio siku niliyotumbua jicho mithiri ya Ng'ombe anaangalia kitu cha nyuma ila kaelekea mbele!. Ukitaka kupigana na ke jihadhari Sana na kende zako
[emoji28][emoji1][emoji2][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]ukomeeeee

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Aise ni story ndefu maana kipindi hicho na mke wangu alikuwa na mtoto mchanga ila sijui huyu niliyemkuta mgombani alikuwa ana siku ngapi kwa haraka ukimuangalia ni kama wanalingana ila namshukuru Mungu wamekua pamoja na sasa hivi kama mapacha
Ina maana unamlea kama wako hapo nyumbani?mkeo alimkubali!
Ubarikiwe na hongera sana aseh

Sent from my Infinix X559C using JamiiForums mobile app
 
Kuna pisi moja nishawahi kudet nayo ilikua pisii nzuri sana na alikua najitambua kama msichana mwenye viwango vyake Coz alikua anasifa zote ambazo wanaume tunaziangalia before ya kumtongoza

Basi tulitofautiana kauli kidogo nikashikwa na hasira nikamzibua sana mangumi, viwiko, makofi, mateke ya tumbo n.k Yaani nilimpiga vibaya sana akabaki analia sana coz aliumia mno afu nikamuacha ndani Geto kwangu nikamwambia nikirudi nisimkute.

Basi baadae nikarudi nyumbani sikumkuta cha ajabu nikakuta amefanya usafi kama kawaida katengeneza ndani pakawa safi, kama ilivyokawaida kwa wanaume baada ya msala huwa tunakaa tunarepley tukio zima, nikaanza kutafakari Eebana ee lile swala liliniuma sana maana niliona nmempiga vibaya vibaya nmemuumiza natofaut yenyewe ilikua ndogo sana. Nikaona nimpigie simu ili nirekebishe palipoharibika lakn hakupatikana zaidi ya wiki,

Wiki ilipoisha niikakuta text yake kwenye sim yangu ilikua fupi ikisema " Im sorry kwa kukukwaza siku ile mume" Baada ya kuiona hyo text nikampandia hewani nikamwambia nahitaji kuongea na ww njoo nyumbani, Mtoto akarespond akaja. Nilimuomba msamaha kwa yote niliyomfanyia kwasababu nilimpiga vibaya sana na bado alikua kavimba kdog usoni pake lakini cha ajabu Akasema " Nisamehe mimi kwa kujibishana na ww Mimi msichana nilitakiwa nikutii " Khaa nikabaki nashangaa wakt nyuma ya pazia kosa asilimia kubwa nilikua nimetenda mimi (kosa siwezi kulisema) Nikabaki nashangaa sana Coz angekua demu mwingine asingekubali hata msamaha wangu. Tokea siku hyo nikasema sitompiga tena mwanamke kama tutatofautia basi nitajitahdi niishie tu kuondoka nikiwa Clean

MAMBO MENGINE YANATOKEAGA ILI TUJIFUNZE
 
Back
Top Bottom