BinSalum7
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 1,733
- 3,847
Jamaa uamuzi wa kumpiga aliona ni sahihi kwa upande wake, ila mie binafsi sijawahi kunyanyua mkono wangu na kumpiga mwanamke.Kumbe dalili sio kwamba amemkubalia.. kwa nini usipiganie penzi lako na uhakikishe anaahirisha kumkubalia?
Sent using Jamii Forums mobile app