Hivi umewahi kumpiga girlfriend wako?

Hivi umewahi kumpiga girlfriend wako?

Nasema sijui kwa sababu sijawahi kupigwa, nje na mzazi wangu hakuna mtu aliyewahi kunipiga, kunifokea wala kuninyooshea kidole

Sent using Jamii Forums mobile app
Dah!!!,hapo kuna mawili,moja yawezekana una nidhamu sana kiasi kwamba jamaa haoni shida yoyote kwako,hilo nasema kwasababu ndivyo mke wangu alivyo,kwa hiyo sijawahi kumpiga;Pili inawezekana wewe ni mbabe sana kiasi kwamba kidume hakohoi kwako,akishaingia ndani ni kufyata mkia mwanzo mwisho.
 
None of the above

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tupe na Experience alizingua nini?[emoji23]

Mimi niliiba simu yake nikazama kwenye Messages. Kufanya upembuzi nikakuta anachati na mwamba anamsifia eti ni mtamu! [emoji23][emoji23]

Nikamuuliza huyu nani? Akabaki kimya! Nilimrukia buti kama la Van damme [emoji2]. Nilimpiga mpaka akazima.

Eti akataka kunipeleka Polisi, baadaye familia ikaongea na familia yao wakayamaliza. Ikapita kama mwezi hivi tukaja kukutana nikamuomba msamaha akakubali tukarudiana [emoji2]

Eti akataka kunipeleka Polisi, ... nikamwomba msamaha...
 
Back
Top Bottom