Hivi unaanzaje kuwashtaki Qnet?

Serikali ndo inapaswa iwafutie leseni, kama nchi nyingine, tatizo wanapiga sana pesa na kuipoza serikali .
Ukitaka kujua kama Bongo hata 'kekundu-kale-kapesa' ni wadau wa serikali we jichanganye tu!🤡
... wakikudhulumu ukaenda Polisi jibu unalopata ni: "Ungewala ungekuja hapa!?" 😅 ... KWISHA HABARI!
 
Walimu ndo wahanga wa Q net sabaya alikuwa anapambana nao mkamuona mtu mbaya
 
Hawa jamaa TRA wakikaa vizuri wanaweza kuwadai record ya mauzo yao ili waangalie kama hizo million 5-5-5 kama huwa zinalipiwa kodi
Kodi gani mkuu? Msikariri kila kitu mnasema kodi, haya hapo kodi gani inatakiwa kulipwa?
 
Walinionesha hii pcha nkawaamini [emoji28] , ... Nkawaambia hyo 4.8m sina cash hapa , wakanshauri nkauze mbao za mzee nije niwape , eti nkishakua tajiri ntamrudishia mzee mbao zake [emoji28].. dah ningekua nalia sahiv

Sent from my Redmi Note 8 using JamiiForums mobile app
 
Kwa mapigo ya hao jamaa ya kupiga suti hadi usiku nimegundua hapa mtaani Kwangu wapo hao jamaa .
Kuna nyumba hapa mtaani Kwangu imepangwa na hao jamaa zaidi ya 30 vijana wa kike na kiume nilikuwa najua ni hosteli ya wanafunzi wa chuo kumbe ndio hawa jamaa. Manake kuna sehemu Kwa mama ntilie mmoj wanaenda kula wanaagiza wali au ugali wa elfu tatu wanawekewa Kwenye sinia moja na mboga kwenye bakuli moja kubwa wanakula hata 7
Ila jamaa wanavitafuna hivyo vibinti
Ngoja nimshtue Kheri James awashukie manake ni wilayani kwake
 
Nilipo bold unamaanisha nini
 
Hawawezi kushitakiwa nchi imefunguliwa atawewe unaweza ukaagiza kuku wa kienyeji kutoka singida ukauza kuku mmoja laki 6 na mteja akinunua utakuwa hujafanya kosa lolote.
 
Serikali ndo inapaswa iwafutie leseni, kama nchi nyingine, tatizo wanapiga sana pesa na kuipoza serikali .
Dawa yao nikuwafungulia kesi ya uhujumu uchumi wateme pesa zote kampuni ushwara kama hizi Jiwe ndiyo alikuwa anaweza kuwakaba man-to-man
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…