Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
[emoji849] yaani mimi hii Qnet naisikia tu na sijawahi kujua kuwa inaoperate vipi. Yaani wanawakamataje hawa jamaa waliolizwaKuna package ya vacation..misosi inakuwamo humo
Wale Alliance in Motion nilifahamu ni ya kuuza supplements, na nilikaribishwa kwenye matangazo yao lakini sikujiunga tu kifupi niliawaambia sintakuwa na muda wa kusupply hizo supplement wala kutafuta member wengine mama mmoja akanisumbua kidogo nikampotezea
Sasa hawa QNET wao wanauza nini? Hao wateja wanawapaje hizo hela, mfano hiyo hela ya msosi M5 wanaitoaje?