Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
Bado hamjajifunza tu, mwanzo mlifosi mkaweka karakana pale Jangwani, kilichowapata kila mtu anajua.
Mwaka huu tena mmeamka na akili zenu finyu mnataka kwenda kuweka karakana pale Simu 2000 a.k.a Mawasiliano. Hivi ni mnatumia akili kufikiri au mnatumia mgongo?
Kwa sasa mradi wa mwendokasi umefika mpaka Kibaha, kwa nini msipeleke karakana huko nje ya mji ambako kuna maeneo ya wazi makubwa yasiyo na shughuli zozote za kiuchumi?
Kwa nini muende kuwasumbua wafanyabiashara na wananchi wa katikati ya mji ambako tayari wamesettle kimaisha na kiuchumi, mnataka tena waanze kuhangaika maeneo mengine ya ku settle, kwani inawashinda nn nyie kutafuta eneo lisilo na kelele nyingi kama huko nje ya mji?
Ifike mahali hawa Wakurugenzi na Wakuu wa Mikoa au Wilaya wateuliwe kwa kuangalia ufanisi wao katika kufikiri.