Hivi unaeza teuliwa bila kuwa chamani, bika kuambiwa? Naomba kujifunza wakuu!

MR.NOMA

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
339
Reaction score
505
Ni Mimi Mr.Noma napenda sana kuwa Mkuu wa Wilaya au Mkoa! Nahitaji kujifunza.Nikikosa hata Ukurugenzi tu wa halmshauri unanifaa. Kwa ninavyojua wananchi watapata maendeleo sana katika enoe Hilo. Maana sipendi uzembe.
 
Inawezekana ila inabidi uwe chawa wa washika dau ili wakuvute
 
Ni Mimi Mr.Noma napenda sana kuwa Mkuu wa Wilaya au Mkoa! Nahitaji kujifunza.Nikikosa hata Ukurugenzi tu wa halmshauri unanifaa. Kwa ninavyojua wananchi watapata maendeleo sana katika enoe Hilo. Maana sipendi uzembe.
Sawa.
Nitumie majina yako kamili inbox, kesho natangaza uteuzi..
 
Wengi tu unashangaa ameteuliwa ndio anahangaika kutafuta kadi ya CCM na kuibackdate
 
Daah! Basi itokee kwangu hiyo aisee, maana napenda kuitumikia nchi yangu na Sina chama.
 
kila anayeteuliwa anakuwa anajua, coz atakuwa alipigiwa simu na watu Wa usalama kuomba taarifa zake muhimu
 
Basi wapige tu simu kwangu pia. Mbona simu zangu zipo everywhere, hata hao jamaa naamini watakuwa nazo.
 
Back
Top Bottom