mukulupapaa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 2,930
- 1,733
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti hakuna ccm,nyie watu nyieee!!!yeye anafikiria kuvaa tshirt la kijani lenye nembo Chagua(M)kwamba watu wa ushuru watampita tuwewe kweli jinga uwezi kusarisha mzigo kuja huku bila tax na nikuambie tu huku hata kama utaleta bidhaa kwanza lazima hiwe katika kiwango plus document.ni ngumu kuleta bidhaa ugaibuni.kwanza wewe ulishafika huko?huko hakuna ccm kwamba utaleta tuu bila kodi.
swissme
Sasa mbona unarudia yale yale???au kwa sababu jamaa hakuandika kizungu???maana wewe umeongeza kizungu tuSina uhakika lakini inawezekana wewe ndio mjinga na sio huyo mleta mada!inawezekana wewe uko huko lakini hujui chochote,kwa taarifa yako tu ni kwamba kuna kitu kinaitwa Economic Partnership Agreement (EPA) ambacho nchi zilizopo jumuiya ya Africa Masharariki zinaibembeleza Tanzania iweke saini ili kuziwezesha nchi zote kuuza vitu ulaya bila kodi na wao kuuza vitu kwetu bila kodi.
Hata hivyo wazo hilo limekataliwa na Tanzania kwa kuwa sisi kama Least Developed Country (LDC) tayari tunaenjoys the "Everything but Arms (EBA) preference scheme" provided by the European Union i.e. we can already export duty-free and quota-free to the EU market without providing the EU with similar market access terms.
Kinachotukwaza tu kwasasa ni high standards ambazo ulaya wanazitaka katika bidhaa nyingi but kama Mtanzania unaweza kuzifikia hizi standards uko huru kucheza la soko la Ulaya kadiri utakavyo,Bahresa (SSB) amekuwa akiitumia hii fursa kwa kiwango cha juu wakati wewe unabaki ukipiga kelele hapa JF.
Siki hizi wanaitwa ng'ombe waso na mkiaWameacha kuwaita Monkey
hahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti hakuna ccm,nyie watu nyieee!!!yeye anafikiria kuvaa tshirt la kijani lenye nembo Chagua(M)kwamba watu wa ushuru watampita tu
TCRA nimetukanwa...povu la nini nilikaa ulaya zamani n dio walivyokuwa wanawaita blacks MonkeyWe mnge....se
MmmmmmhhhNdiyo, wewe kama Mtanzania kama ulikuwa haufahamu unaweza kuexport bidhaa yoyote ile EU isipokuwa silaha bila ya kulipa kodi yoyote ile huko bidhaa iendako, hivyo ni juu yako wewe kutafuta pa kuizuia tu!
Diaspora mko wapi? Kwa nini msitumie hii fursa?
Ndiyo, wewe kama Mtanzania kama ulikuwa haufahamu unaweza kuexport bidhaa yoyote ile EU isipokuwa silaha bila ya kulipa kodi yoyote ile huko bidhaa iendako, hivyo ni juu yako wewe kutafuta pa kuizuia tu!
Diaspora mko wapi? Kwa nini msitumie hii fursa?
Hata mihadarati? Labda bidhaa zinazozalishwa ndani ya EU au EEA lakini sio nje ya EU, labda tena kama kuna bilateral agreement. Labda Dr. Mahiga, waziri wa foreign affairs atatueleza hili.Ndiyo, wewe kama Mtanzania kama ulikuwa haufahamu unaweza kuexport bidhaa yoyote ile EU isipokuwa silaha bila ya kulipa kodi yoyote ile huko bidhaa iendako, hivyo ni juu yako wewe kutafuta pa kuizuia tu!
Diaspora mko wapi? Kwa nini msitumie hii fursa?
Hata mihadarati? Labda bidhaa zinazozalishwa ndani ya EU au EEA lakini sio nje ya EU, labda tena kama kuna bilateral agreement. Labda Dr. Mahiga, waziri wa foreign affairs atatueleza hili.