With thanks!Noted
For action!Noted
Zinauzwa wapi? Nilikuwa ninazitafuta sana kwa ajili ya Sumbawanga Airlines.Ubishi ni akili zetu ila ni wafafanulie kwa ufupi.Ndege zinapotaka kuondoka ufanyiwa ukaguzi kama kuna nyufa au kuna uwazi.ili kuzibiti uwazi kuna tape ambayo inatwa speed tape au aluminium tape.
Hii ni gundi maalumu ambayo uweza kuvumilia uwezo wowte wa hewa,maji,ugumu wa kazi.
View attachment 3354812View attachment 3354813
Lazima kuna sababu maalum kwani super glue haitumiki kuziba nyufa
Ninazo, (sitanii) ningekuwa ofisini ningepiga picha uzione.Zinauzwa wapi? Nilikuwa ninazitafuta sana kwa ajili ya Sumbawanga Airlines.
Ubishi ni akili zetu ila ni wafafanulie kwa ufupi.Ndege zinapotaka kuondoka ufanyiwa ukaguzi kama kuna nyufa au kuna uwazi.ili kuzibiti uwazi kuna tape ambayo inatwa speed tape au aluminium tape.
Hii ni gundi maalumu ambayo uweza kuvumilia uwezo wowte wa hewa,maji,ugumu wa kazi.
View attachment 3354812View attachment 3354813
Ukifanya mzaha tutakulaza kwenye kichuguu.Ninazo, (sitanii) ningekuwa ofisini ningepiga picha uzione.
Nitumie sample.TAPE MOJA HAPA BONGO BEI INAKWENDA MILION 2 SIKOSEI YA 3M.
WASILIANA NA HII KAMPUNI NDIO WENYE TAPE ZA KILA AINA HAPA KUWAPATA LABDA NAIROB KENYA KWA HARAKA https://www.3m.com/Nitumie sample.
πππππVishu nakumaindi sana