Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Kama una swali lolote kuhusu huu usafiri uliza
Sifurahiii ndio maana nikakutag mkuu, uje umshushie kipigo kikali Lloyd Munroe😂😂😂😂😂Vishu nakumaindi sana
Vishu wewe unafurahia sana suala la sisi kuitwa ndama dadek ....
Huyo jamaa ako ana mdomo mchafu..Sifurahiii ndio maana nikakutag mkuu, uje umshushie kipigo kikali Lloyd Munroe
Timu zenu Zina uwanja ?Huyo jamaa ako ana mdomo mchafu..
Anaota wenzake ndama as if yeye ni ng'ombe...
Huyu jamaa namwandalia team yangu hyo walah hatokaa hasahau
Basi nimeshindwa bei, hii ya waagizaji wote watalipa 3milioni! Kijasho kimenitoka.WASILIANA NA HII KAMPUNI NDIO WENYE TAPE ZA KILA AINA HAPA KUWAPATA LABDA NAIROB KENYA KWA HARAKA https://www.3m.com/
Takubonda we jamaa 😂😂🙌🙌Timu zenu Zina uwanja ?
Wabongo hawashindwi kuweka uji wa moto ukaukie hapo kwenye nyufakwa jinsi gharama ilivyokuwa basi watanzania wataziba kwa matope aia zege maana wabongo nawafahamu fika kabisa.
Monetary doctor Harmful
Ila mkuu hii imezidi sasa 😂😂😂Wabongo hawashindwi kuweka uji wa moto ukaukie hapo kwenye nyufa
Hardware shops 🫢😃😃Zinauzwa wapi? Nilikuwa ninazitafuta sana kwa ajili ya Sumbawanga Airlines.
Mimi nakumbuka niliweka gundi ya maji nipate kupitakwa jinsi gharama ilivyokuwa basi watanzania wataziba kwa matope aia zege maana wabongo nawafahamu fika kabisa.
Monetary doctor Harmful
Uliwekwa wapi?Mimi nakumbuka niliweka gundi ya maji nipate kupita
Siti zilijaa ikabidi tusimameUliwekwa wapi?
Kwenye ndege au kwenye matatu 😅.Siti zilijaa ikabidi tusimame
Ndege ETHAD AIRLINESKwenye ndege au kwenye matatu 😅.
Kwa hiyo uliziba Kwa gundi ya maji na mambo yalikuwa sawa.Ndege ETHAD AIRLINES
Tulikuwa pale AmsterdamKwa hiyo uliziba Kwa gundi ya maji na mambo yalikuwa sawa.