my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,397
Ujue kuna mambo mengine tunajitakia wenyewe. Hivi mwanamke unaanzaje kuishi na mwanaume miaka mi2 bila ndoa hata Pete ya uchumba tu hajakuvisha mnaishi pamoja miaka yote mi2. Hamtaki kuoana basi zaeni lakin ata kuzaa mmegoma. Unachezewa. Unapotezewa mda. Mtu uko nae toka uko mdogo mpk unazeeka bado uko nae afu unahisi unapendwa 😂
Ndo kama dada mmoja ameishi na boyfriend wake miaka 7 hakuna ndoa wala engagement. Wanaishi nyumba moja. Juzi wameenda wote likizo Paris. Dada wa watu akajua mkaka ata propose kumbe nehi nehi jamaa ameenda kustarehe tu 🤣🤣 Dada ameondoka kwa furaha drama kibao kila kona kurudi amerudi kimya kimya 😂 ata ham ya kushika simu hana 😅 Hapa navoandika dada ameamua kumuacha kaka ati anampotezea muda wake. Miaka yote 7 hukustuka ndo unastuka leo ati unachezewa? We hamnazo 🙃
Mimi nikiona mdada wa hivi sijui namuonaje namuona kama hana akili. Mtu mwenye akili awezi kukaa kwenye relation ya hivi miaka yote hiyo. Alafu mwanaume ukikaa nae mwaka mmoja unajua tu kama yko serious au sio. Kama hayupo serious bora uachane nae mapema kuliko kupotezeana muda.
Mimi bora waniite malaya kuliko kukaa kwenye relationship isiokuwa na nyuma wala mbele kwa kisingizo cha mapenzi. Nilikaa na mjinga mmoja hvi miaka mi3 tena kwa sababu kipindi icho nilikuwa teenager. Baada ya apo nikiona mwanaume yupo yupo namtupia kule tena ndo akiwa hana pesa ata simtazami mara mbili. Mwanaume asiekua na pesa wa nini sasa? Kwanza mwanaume asiekua na pesa anakua hana mapenzi ata kidogo. Mapenzi yake yote anamaliza kwa mama ake na dada zake. Kwa sasa nko engaged na mwakani summer tunaoana Mungu akipenda.
Acheni kuwa na wanaume wasioeleweka msiogope kuanza upya. Saa nyingine kuanza upya kuna heri kuliko kukaa kwa zamani kusipokua na faida yoyote kwako zaidi ya kupoteza mda.