Hivi unaishi vipi na mwanaume miaka 2 bila ndoa?

Ujue kuna mambo mengine tunajitakia wenyewe. Hivi mwanamke unaanzaje kuishi na mwanaume miaka mi2 bila ndoa hata Pete ya uchumba tu hajakuvisha mnaishi pamoja miaka yote mi2. Hamtaki kuoana basi zaeni lakin ata kuzaa mmegoma. Unachezewa. Unapotezewa mda. Mtu uko nae toka uko mdogo mpk unazeeka bado uko nae afu unahisi unapendwa 😂

Ndo kama dada mmoja ameishi na boyfriend wake miaka 7 hakuna ndoa wala engagement. Wanaishi nyumba moja. Juzi wameenda wote likizo Paris. Dada wa watu akajua mkaka ata propose kumbe nehi nehi jamaa ameenda kustarehe tu 🤣🤣 Dada ameondoka kwa furaha drama kibao kila kona kurudi amerudi kimya kimya 😂 ata ham ya kushika simu hana 😅 Hapa navoandika dada ameamua kumuacha kaka ati anampotezea muda wake. Miaka yote 7 hukustuka ndo unastuka leo ati unachezewa? We hamnazo 🙃

Mimi nikiona mdada wa hivi sijui namuonaje namuona kama hana akili. Mtu mwenye akili awezi kukaa kwenye relation ya hivi miaka yote hiyo. Alafu mwanaume ukikaa nae mwaka mmoja unajua tu kama yko serious au sio. Kama hayupo serious bora uachane nae mapema kuliko kupotezeana muda.

Mimi bora waniite malaya kuliko kukaa kwenye relationship isiokuwa na nyuma wala mbele kwa kisingizo cha mapenzi. Nilikaa na mjinga mmoja hvi miaka mi3 tena kwa sababu kipindi icho nilikuwa teenager. Baada ya apo nikiona mwanaume yupo yupo namtupia kule tena ndo akiwa hana pesa ata simtazami mara mbili. Mwanaume asiekua na pesa wa nini sasa? Kwanza mwanaume asiekua na pesa anakua hana mapenzi ata kidogo. Mapenzi yake yote anamaliza kwa mama ake na dada zake. Kwa sasa nko engaged na mwakani summer tunaoana Mungu akipenda.

Acheni kuwa na wanaume wasioeleweka msiogope kuanza upya. Saa nyingine kuanza upya kuna heri kuliko kukaa kwa zamani kusipokua na faida yoyote kwako zaidi ya kupoteza mda.

Kwa akili hii Na maneno yote hujaolewa? Ushakuwa Na Mahusiano miaka 3 ukiwa teenager? Unajua teenager Ni before 20; sasa hapo mahesabu yanakataa maana ulikuwa mtoto.

Wewe unamuonea wivu mwanzako tu; Na Jamaa atamuoa kabla yako; Kama mwanaume hajaoa Na wameenda naye France, probably uitaji wa kuoa ukifika atamuoa tu.

Mwanaume sio wa kukimbia; Dawa unaongeza mapenzi tu, utakimbia, utachakazwa; Kama anakuitaji wewe Kaa tu, ndoa have achieved nothing Kwenye maisha ya mwanamke.
 
Ulikaa na mwanaume miaka mitatu ukiwa teenager. Means ulikuwa nae ukiwa na miaka 17 mpk 19. Na huyo hakukuta bikra, kwa mana iyo kuanzia miaka 16 ulishaanza michezo mibaya aka mizuri. Aisee iyo k si imetembea km nyingi sana. Yani kama gari ni sklepa haliuziki jooh
Sio vizuri kuvisema viungo vya watu mkuu. Tena unapandisha sauti kabisa,duh!
 
Daa ukakaa miaka mitatu ukiwa teenager. Wakaka mungu atuongoze.
Hizi mambo za kuokota okota 25+ ,Unajikuta umebeba mke wa mtu. Imagine wale wa 30 sasa unakuta kaficha watoto 5 kijijini anakuja tafuta mwanaume mjini wa kumshikisha
 
Ujue kuna mambo mengine tunajitakia wenyewe. Hivi mwanamke unaanzaje kuishi na mwanaume miaka mi2 bila ndoa hata Pete ya uchumba tu hajakuvisha mnaishi pamoja miaka yote mi2. Hamtaki kuoana basi zaeni lakin ata kuzaa mmegoma. Unachezewa. Unapotezewa mda. Mtu uko nae toka uko mdogo mpk unazeeka bado uko nae afu unahisi unapendwa 😂

Ndo kama dada mmoja ameishi na boyfriend wake miaka 7 hakuna ndoa wala engagement. Wanaishi nyumba moja. Juzi wameenda wote likizo Paris. Dada wa watu akajua mkaka ata propose kumbe nehi nehi jamaa ameenda kustarehe tu 🤣🤣 Dada ameondoka kwa furaha drama kibao kila kona kurudi amerudi kimya kimya 😂 ata ham ya kushika simu hana 😅 Hapa navoandika dada ameamua kumuacha kaka ati anampotezea muda wake. Miaka yote 7 hukustuka ndo unastuka leo ati unachezewa? We hamnazo 🙃

Mimi nikiona mdada wa hivi sijui namuonaje namuona kama hana akili. Mtu mwenye akili awezi kukaa kwenye relation ya hivi miaka yote hiyo. Alafu mwanaume ukikaa nae mwaka mmoja unajua tu kama yko serious au sio. Kama hayupo serious bora uachane nae mapema kuliko kupotezeana muda.

Mimi bora waniite malaya kuliko kukaa kwenye relationship isiokuwa na nyuma wala mbele kwa kisingizo cha mapenzi. Nilikaa na mjinga mmoja hvi miaka mi3 tena kwa sababu kipindi icho nilikuwa teenager. Baada ya apo nikiona mwanaume yupo yupo namtupia kule tena ndo akiwa hana pesa ata simtazami mara mbili. Mwanaume asiekua na pesa wa nini sasa? Kwanza mwanaume asiekua na pesa anakua hana mapenzi ata kidogo. Mapenzi yake yote anamaliza kwa mama ake na dada zake. Kwa sasa nko engaged na mwakani summer tunaoana Mungu akipenda.

Acheni kuwa na wanaume wasioeleweka msiogope kuanza upya. Saa nyingine kuanza upya kuna heri kuliko kukaa kwa zamani kusipokua na faida yoyote kwako zaidi ya kupoteza mda.
Kinachokusumbua ni wivu tu😅 hamna kingine maana sidhani pamoja na umalaya wako hata kwa mkaburu tu ushapelekwa😅!!!

Mwenzio ameenda Vacation na bae wake ufaransa umemzunguka kuja kumnafikia Jeiefu yani we ni boya wa mwisho. Unamcheka mwanamke ambaye ameamua kujiheshimu na ku stick na partner wake wanaependana sababu wewe una njaa ya hela unabadilisha wanaume kama lapulapu sijui hata hio mbunye ina hali gani maana toka uachane na teenager wako kwa miaka iliofata tu umeshasuguliwa na wanaume sio chini ya 10 kwa njaa zako zakishamba.

Fanya kazi upate hela uache kutegemea wanaume ng’ombe wewe. Unapokuwa kwenye mahusiano na mwanaume kinachowaunganisha kiwe upendo sio njaa zako kenge kweli😅 af kuwa na mwanaume kinachomshawishi aoe ni tabia zako kama za hovyo utaendelea kuwa lapulapu la wana tu!
 
Ujue kuna mambo mengine tunajitakia wenyewe. Hivi mwanamke unaanzaje kuishi na mwanaume miaka mi2 bila ndoa hata Pete ya uchumba tu hajakuvisha mnaishi pamoja miaka yote mi2. Hamtaki kuoana basi zaeni lakin ata kuzaa mmegoma. Unachezewa. Unapotezewa mda. Mtu uko nae toka uko mdogo mpk unazeeka bado uko nae afu unahisi unapendwa [emoji23]

Ndo kama dada mmoja ameishi na boyfriend wake miaka 7 hakuna ndoa wala engagement. Wanaishi nyumba moja. Juzi wameenda wote likizo Paris. Dada wa watu akajua mkaka ata propose kumbe nehi nehi jamaa ameenda kustarehe tu [emoji1787][emoji1787] Dada ameondoka kwa furaha drama kibao kila kona kurudi amerudi kimya kimya [emoji23] ata ham ya kushika simu hana [emoji28] Hapa navoandika dada ameamua kumuacha kaka ati anampotezea muda wake. Miaka yote 7 hukustuka ndo unastuka leo ati unachezewa? We hamnazo [emoji854]

Mimi nikiona mdada wa hivi sijui namuonaje namuona kama hana akili. Mtu mwenye akili awezi kukaa kwenye relation ya hivi miaka yote hiyo. Alafu mwanaume ukikaa nae mwaka mmoja unajua tu kama yko serious au sio. Kama hayupo serious bora uachane nae mapema kuliko kupotezeana muda.

Mimi bora waniite malaya kuliko kukaa kwenye relationship isiokuwa na nyuma wala mbele kwa kisingizo cha mapenzi. Nilikaa na mjinga mmoja hvi miaka mi3 tena kwa sababu kipindi icho nilikuwa teenager. Baada ya apo nikiona mwanaume yupo yupo namtupia kule tena ndo akiwa hana pesa ata simtazami mara mbili. Mwanaume asiekua na pesa wa nini sasa? Kwanza mwanaume asiekua na pesa anakua hana mapenzi ata kidogo. Mapenzi yake yote anamaliza kwa mama ake na dada zake. Kwa sasa nko engaged na mwakani summer tunaoana Mungu akipenda.

Acheni kuwa na wanaume wasioeleweka msiogope kuanza upya. Saa nyingine kuanza upya kuna heri kuliko kukaa kwa zamani kusipokua na faida yoyote kwako zaidi ya kupoteza mda.
Tatizo Dada yangu mnatuonaga wanaume ni wajinga Sana yaani nyie ndio mna akili[emoji1][emoji1]

Utakuta hata huyo Dada alikua na akili Kama zako na mwanaume akalitambua Hilo ila akajisemea tu huyu hakuna ndoa Wala mtoto maana atanikost.....kilicho Baki ni kula tu kimbususu chake Hadi hapo atakapo ona Sasa inatosha kusuguliwa na huyu jamaa[emoji1][emoji1][emoji1] ataondoka yeye mwenyewe ndio hivo finally Dada kaamua kujiondoa mwenyewe akizani kamuacha jamaa ....hapo kifupi huyo Dada alishwa achwa siku nyingi na jamaa ila aliendelea kubaki kwa kazi maalum [emoji39][emoji39]

So wanawake msituone mafala sana sisi sio Kama nyie wanaume huwa hatuachi kwa kutangaza .....kuacha kwetu tunakutoa tu kwenye malengo ya muda mrefu
 
Kinachokusumbua ni wivu tu[emoji28] hamna kingine maana sidhani pamoja na umalaya wako hata kwa mkaburu tu ushapelekwa[emoji28]!!!

Mwenzio ameenda Vacation na bae wake ufaransa umemzunguka kuja kumnafikia Jeiefu yani we ni boya wa mwisho. Unamcheka mwanamke ambaye ameamua kujiheshimu na ku stick na partner wake wanaependana sababu wewe una njaa ya hela unabadilisha wanaume kama lapulapu sijui hata hio mbunye ina hali gani maana toka uachane na teenager wako kwa miaka iliofata tu umeshasuguliwa na wanaume sio chini ya 10 kwa njaa zako zakishamba.

Fanya kazi upate hela uache kutegemea wanaume ng’ombe wewe. Unapokuwa kwenye mahusiano na mwanaume kinachowaunganisha kiwe upendo sio njaa zako kenge kweli[emoji28] af kuwa na mwanaume kinachomshawishi aoe ni tabia zako kama za hovyo utaendelea kuwa lapulapu la wana tu!
Unajua nilikua najua mabinti wa huku watakua wanajitambua na ni intelligent kumbe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kinachokusumbua ni wivu tu😅 hamna kingine maana sidhani pamoja na umalaya wako hata kwa mkaburu tu ushapelekwa😅!!!

Mwenzio ameenda Vacation na bae wake ufaransa umemzunguka kuja kumnafikia Jeiefu yani we ni boya wa mwisho. Unamcheka mwanamke ambaye ameamua kujiheshimu na ku stick na partner wake wanaependana sababu wewe una njaa ya hela unabadilisha wanaume kama lapulapu sijui hata hio mbunye ina hali gani maana toka uachane na teenager wako kwa miaka iliofata tu umeshasuguliwa na wanaume sio chini ya 10 kwa njaa zako zakishamba.

Fanya kazi upate hela uache kutegemea wanaume ng’ombe wewe. Unapokuwa kwenye mahusiano na mwanaume kinachowaunganisha kiwe upendo sio njaa zako kenge kweli😅 af kuwa na mwanaume kinachomshawishi aoe ni tabia zako kama za hovyo utaendelea kuwa lapulapu la wana tu!
Mkuu Mbona unahasira sana hapo kwenye maswala ya pesa?!
 
Unajua nilikua najua mabinti wa huku watakua wanajitambua na ni intelligent kumbe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Humu kuna chenga nyingi tu wapo wachache wanaojielewa lakini
 
Mkuu Mbona unahasira sana hapo kwenye maswala ya pesa?!
Huwa sipendi mtu azungumzie pesa kama ndio kitu pekee kinachojenga thamani ya utu! We have to deal with this problem in our society sababu wapuuzi kama hawa ndio wanapotosha jamii.

Utaliona jepesi ila impact yake ni kubwa sana kama unafatilia nyuzi nyingi humu hii statement imekuwa kama kibwagizo “Tafta hela” hivi kimsingi ni nani ambaye hana hela? Unaweza ingia JF ukiwa na njaa humu?

Hii ni sawa na ile tabia ya kuzungumzia ushoga ambayo inatamalaki sana sikuhizi matokeo yake uonekane ni kitu cha kawaida!
 
Hamna mtu hapaa,
Screenshot_20211229-085431.jpg
Screenshot_20211229-085247.jpg
 
Hapa ndio ulipokosea...

Mwanamke ukiingiza pesa mbele unakuwa ni malaya ambae hajachangamka....

Anajikadiria kwenye pesa za mtu.....hahaha! Type hii ndio wanafanyiwa unyama kwasababu ya pesa.... tamaa kwenye pesa halafu unataka uolewe, akaolewe na Bank.
 
Huwa sipendi mtu azungumzie pesa kama ndio kitu pekee kinachojenga thamani ya utu! We have to deal with this problem in our society sababu wapuuzi kama hawa ndio wanapotosha jamii.

Utaliona jepesi ila impact yake ni kubwa sana kama unafatilia nyuzi nyingi humu hii statement imekuwa kama kibwagizo “Tafta hela” hivi kimsingi ni nani ambaye hana hela? Unaweza ingia JF ukiwa na njaa humu?

Hii ni sawa na ile tabia ya kuzungumzia ushoga ambayo inatamalaki sana sikuhizi matokeo yake uonekane ni kitu cha kawaida!
Hapana Kaka ni hivi wanaume wanaandaliwa kisaikolojia kuwa punda wa wanawake bila wao kujijua.....na in future watakua punda kweli watafanya kazi ngumu na kujituma ili yapate pesa yakawape wanawake alafu yapewe mbususu na mapunda mengine hata denda yasiambulie [emoji1] we yaache yaendelee kuimba tafuta pesa
 
Hahahahah it makes alot of sense tho! Huu upunda utawaangamiza wengi sana papuchi shouldn’t be that big of a deal!
 
Back
Top Bottom