Hivi unaishi vipi na mwanaume miaka 2 bila ndoa?


Kwa akili hii Na maneno yote hujaolewa? Ushakuwa Na Mahusiano miaka 3 ukiwa teenager? Unajua teenager Ni before 20; sasa hapo mahesabu yanakataa maana ulikuwa mtoto.

Wewe unamuonea wivu mwanzako tu; Na Jamaa atamuoa kabla yako; Kama mwanaume hajaoa Na wameenda naye France, probably uitaji wa kuoa ukifika atamuoa tu.

Mwanaume sio wa kukimbia; Dawa unaongeza mapenzi tu, utakimbia, utachakazwa; Kama anakuitaji wewe Kaa tu, ndoa have achieved nothing Kwenye maisha ya mwanamke.
 
Sio vizuri kuvisema viungo vya watu mkuu. Tena unapandisha sauti kabisa,duh!
 
Daa ukakaa miaka mitatu ukiwa teenager. Wakaka mungu atuongoze.
Hizi mambo za kuokota okota 25+ ,Unajikuta umebeba mke wa mtu. Imagine wale wa 30 sasa unakuta kaficha watoto 5 kijijini anakuja tafuta mwanaume mjini wa kumshikisha
 
Kinachokusumbua ni wivu tu😅 hamna kingine maana sidhani pamoja na umalaya wako hata kwa mkaburu tu ushapelekwa😅!!!

Mwenzio ameenda Vacation na bae wake ufaransa umemzunguka kuja kumnafikia Jeiefu yani we ni boya wa mwisho. Unamcheka mwanamke ambaye ameamua kujiheshimu na ku stick na partner wake wanaependana sababu wewe una njaa ya hela unabadilisha wanaume kama lapulapu sijui hata hio mbunye ina hali gani maana toka uachane na teenager wako kwa miaka iliofata tu umeshasuguliwa na wanaume sio chini ya 10 kwa njaa zako zakishamba.

Fanya kazi upate hela uache kutegemea wanaume ng’ombe wewe. Unapokuwa kwenye mahusiano na mwanaume kinachowaunganisha kiwe upendo sio njaa zako kenge kweli😅 af kuwa na mwanaume kinachomshawishi aoe ni tabia zako kama za hovyo utaendelea kuwa lapulapu la wana tu!
 
Tatizo Dada yangu mnatuonaga wanaume ni wajinga Sana yaani nyie ndio mna akili[emoji1][emoji1]

Utakuta hata huyo Dada alikua na akili Kama zako na mwanaume akalitambua Hilo ila akajisemea tu huyu hakuna ndoa Wala mtoto maana atanikost.....kilicho Baki ni kula tu kimbususu chake Hadi hapo atakapo ona Sasa inatosha kusuguliwa na huyu jamaa[emoji1][emoji1][emoji1] ataondoka yeye mwenyewe ndio hivo finally Dada kaamua kujiondoa mwenyewe akizani kamuacha jamaa ....hapo kifupi huyo Dada alishwa achwa siku nyingi na jamaa ila aliendelea kubaki kwa kazi maalum [emoji39][emoji39]


So wanawake msituone mafala sana sisi sio Kama nyie wanaume huwa hatuachi kwa kutangaza .....kuacha kwetu tunakutoa tu kwenye malengo ya muda mrefu
 
Unajua nilikua najua mabinti wa huku watakua wanajitambua na ni intelligent kumbe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mkuu Mbona unahasira sana hapo kwenye maswala ya pesa?!
 
Unajua nilikua najua mabinti wa huku watakua wanajitambua na ni intelligent kumbe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Humu kuna chenga nyingi tu wapo wachache wanaojielewa lakini
 
Mkuu Mbona unahasira sana hapo kwenye maswala ya pesa?!
Huwa sipendi mtu azungumzie pesa kama ndio kitu pekee kinachojenga thamani ya utu! We have to deal with this problem in our society sababu wapuuzi kama hawa ndio wanapotosha jamii.

Utaliona jepesi ila impact yake ni kubwa sana kama unafatilia nyuzi nyingi humu hii statement imekuwa kama kibwagizo “Tafta hela” hivi kimsingi ni nani ambaye hana hela? Unaweza ingia JF ukiwa na njaa humu?

Hii ni sawa na ile tabia ya kuzungumzia ushoga ambayo inatamalaki sana sikuhizi matokeo yake uonekane ni kitu cha kawaida!
 
Hapa ndio ulipokosea...

Mwanamke ukiingiza pesa mbele unakuwa ni malaya ambae hajachangamka....

Anajikadiria kwenye pesa za mtu.....hahaha! Type hii ndio wanafanyiwa unyama kwasababu ya pesa.... tamaa kwenye pesa halafu unataka uolewe, akaolewe na Bank.
 
Hapana Kaka ni hivi wanaume wanaandaliwa kisaikolojia kuwa punda wa wanawake bila wao kujijua.....na in future watakua punda kweli watafanya kazi ngumu na kujituma ili yapate pesa yakawape wanawake alafu yapewe mbususu na mapunda mengine hata denda yasiambulie [emoji1] we yaache yaendelee kuimba tafuta pesa
 
Hahahahah it makes alot of sense tho! Huu upunda utawaangamiza wengi sana papuchi shouldn’t be that big of a deal!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…