Hivi unajihisi uko salama kiasi gani unapokuwa mikononi mwa polisi?

Genius Man

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2024
Posts
3,558
Reaction score
7,935
Hivi unajihisi uko salama kiasi gani unapokuwa mikononi mwa polisi?

Je mamlaka hii iliyopewa dhamana ya ulinzi wako na mali yako inakufanya uhisi usalama katikati ya hofu ama wasiwasi?
 
Ukiona hivyo hasa ikiwa kwa sababu za kisiasa na zaidi ikiwa za upinzani jua kuwa kaburi lako tayari limeshaandaliwa.
 
Back
Top Bottom