Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
Ukiona hivyo hasa ikiwa kwa sababu za kisiasa na zaidi ikiwa za upinzani jua kuwa kaburi lako tayari limeshaandaliwa.Hivi unajihisi uko salama kiasi gani unapokuwa mikononi mwa polisi?
Je mamlaka hii iliyopewa dhamana ya ulinzi wako na mali yako inakufanya uhisi usalama katikati ya hofu ama wasiwasi?
kwahiyo nini kifanyikeUkiona hivyo hasa ikiwa kwa sababu za kisiasa na zaidi ikiwa za upinzani jua kuwa kaburi lako tayari limeshaandaliwa.
No reform no election.Utashi wa kisiasa wamekosa wameamua utekaji,uuwaji na unyanyasaji ndiyo njia ya kuendesha na kufanikisha mambo yao.kwahiyo nini kifanyike
BOra duniani ila sio tanzagizaHata ukiwa duniani tu haupo salama 100%