Hivi unajisikiaje kuiingizia kampuni hasara

Mi naona kama promo maana katukana makusudi
 
Jana kajibu akiwa wasafi village kuwa anajisikia vibaya sana na kaongeza kuwa TCRA wameihukumu wasafi kwa interview aliyofanya kipindi cha nyuma alipoojiwa na akina dida kabla hata hajaajiliwa wasafi. Kisha akawaomba TCRA wasifukue makaburi yake ya nyuma maana watafungia redio zote alizowahi kufanya nazo interview waanze kumtazama sasa.
 
Sikiliza Sports Headquarters ya E fm. Hiyo nyingine ni copy tu.
JAYJAY hiko kipindi sisikilizagi kabisa hata nikiwa free kipindi changu Bora Ni sports Arena,Kuna kipindi kingine ninapenda kukisikiliza Ni Cha ebony Cha michezo kipo vizuri pia
 
Inakuwaje unene ni tusi? Basi huyo mnene si tayari tusi lilowazi na kutembea kila sehemu.
 
JAYJAY hiko kipindi sisikilizagi kabisa hata nikiwa free kipindi changu Bora Ni sports Arena,Kuna kipindi kingine ninapenda kukisikiliza Ni Cha ebony Cha michezo kipo vizuri pia
Sababu ni nini?? Maana kuna watangazaji unawasikiliza sasa ivi wametoka hukohuko efm
 
Sababu ni nini?? Maana kuna watangazaji unawasikiliza sasa ivi wametoka hukohuko efm
ze-dudu kwanza kabisa sports arena kina mchambuzi Bora wa uchambuzi kwa sasa George ambangile alafu pia kina edo kumwembe, George job, Ni kipindi ambacho kinatoa muda mrefu sana kuchambua kuliko vipindi vyote vya michezo.

2.Hakina ushabiki wa team

Japo wachambuzi wao Wana team zao wanashabikia lakini linapofika kwenye uchambuzi wao uoni wakiweka ushabiki kitu ambacho Ni tofauti na vipindi vingi vya michezo.

3.kutoa fursa kwa mashabiki

Wana section ya mashabiki kuchangia hoja na kutoa dukuduku kwenye hoja ambayo washachambua teyali.Kuna demokrasia kwenye kipindi Chao tofauti na vipindi vingi vya michezo.Naomba niishie hapa Nina vitu vingi Sana kwenye kipindi hiki.
 
JAYJAY hiko kipindi sisikilizagi kabisa hata nikiwa free kipindi changu Bora Ni sports Arena,Kuna kipindi kingine ninapenda kukisikiliza Ni Cha ebony Cha michezo kipo vizuri pia
Sijui , lakini binafsi naona nje ya George Ambangile, hakuna mchambuzi mwingine yeyote wakuweza kulinganishwa kwa ubora na vichwa vilivyo ndani ya Sports Headquarters.
 
Sijui , lakini binafsi naona nje ya George Ambangile, hakuna mchambuzi mwingine yeyote wakuweza kulinganishwa kwa ubora na vichwa vilivyo ndani ya Sports Headquarters.
JAYJAY Unajua kila mtu anamtazamo wake kwa upande wangu huyo maestro na Jeff Leah siwakubali kabisa Wana uchembechembe wa uman united hawapendi kuficha ficha ushabiki wao pia Oscar Oscar ana umakuzi fulani wa kiboya badala ya kujikita kuchambua ndio maana kipindi sikiangalii kabisa Bora hata Cha East Africa radio kuliko hiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…