Jerry Rebiam
JF-Expert Member
- May 22, 2016
- 402
- 358
- Thread starter
- #21
Hio dp ya akwelina inanipaga mawazo sana
Tutakuwaje na adabu wakati dada zenu tu hapa mjini hawana adabu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tutakuwaje na adabu wakati dada zenu tu hapa mjini hawana adabu.
Sikiliza Sports Headquarters ya E fm. Hiyo nyingine ni copy tu.
hii nchi ngumu sana, eti Mwijaku ni mtangazaji 🤣Watu wa kigoma wanalazimishaga umaarufu halafu wakiupata wanaharibu.. ni malimbukeni flani hivi ..ona yule bichwa tofali mwijaku nae.. hovyo kabisa
Hatari sana mkuu, wazazi wake sijui wako katika hali gani?. Ndio ubaya wakutumia silaha mahala pasipokuwa na ulazima.Hio dp ya akwelina inanipaga mawazo sana
Hatari sana mkuu, wazazi wake sijui wako katika hali gani?. Ndio ubaya wakutumia silaha mahala pasipokuwa na ulazima.
hii nchi ngumu sana, eti Mwijaku ni mtangazaji [emoji1787]
Jana kajibu akiwa wasafi village kuwa anajisikia vibaya sana na kaongeza kuwa TCRA wameihukumu wasafi kwa interview aliyofanya kipindi cha nyuma alipoojiwa na akina dida kabla hata hajaajiliwa wasafi. Kisha akawaomba TCRA wasifukue makaburi yake ya nyuma maana watafungia redio zote alizowahi kufanya nazo interview waanze kumtazama sasa.OK
Niende direct baba levo anajiskiaje right now baada ya wasafi FM kufungiwa kwa siku 7 sababu ikiwa ni yeye...siku ya Jana TCRA wameifungia wasafi FM isiwe hewani mpaka tarehe 18 Kisa maudhui yaliyokosa maadili hususan kwenye kipindi cha mashamsham ya dida double d na the switch ya kina lil ommy ambapo kwa the switch ni pale baba levo alipowaongelea vibaya wanawake wanene...na nlipopata nafasi ya kuskia alichotamka baba levo akiwa live kwenye the switch nikaona jins gani Almas alikosea kumuajiri kama mtangazaji wa kipind cha heshima kama mgahawa
NITAMISS SPORTS ARENA HASA BAADA YA LIGI KUU KUWA MOTO NA EPL KUANZA
😂😂😂😂😂😂😂hii nchi ngumu sana, eti Mwijaku ni mtangazaji 🤣
JAYJAY hiko kipindi sisikilizagi kabisa hata nikiwa free kipindi changu Bora Ni sports Arena,Kuna kipindi kingine ninapenda kukisikiliza Ni Cha ebony Cha michezo kipo vizuri piaSikiliza Sports Headquarters ya E fm. Hiyo nyingine ni copy tu.
Sababu ni nini?? Maana kuna watangazaji unawasikiliza sasa ivi wametoka hukohuko efmJAYJAY hiko kipindi sisikilizagi kabisa hata nikiwa free kipindi changu Bora Ni sports Arena,Kuna kipindi kingine ninapenda kukisikiliza Ni Cha ebony Cha michezo kipo vizuri pia
Kuna mnyakyusa anaitwa George ambangile Huyu Jamaa anajua mpira anajua kuchambua Siku asipokuwepo hata sipat burudan ya uchambuzJAYJAY hiko kipindi sisikilizagi kabisa hata nikiwa free kipindi changu Bora Ni sports Arena,Kuna kipindi kingine ninapenda kukisikiliza Ni Cha ebony Cha michezo kipo vizuri pia
EFM wapo vizur ila muda mwingi mzik kuliko uchambuzSababu ni nini?? Maana kuna watangazaji unawasikiliza sasa ivi wametoka hukohuko efm
ze-dudu kwanza kabisa sports arena kina mchambuzi Bora wa uchambuzi kwa sasa George ambangile alafu pia kina edo kumwembe, George job, Ni kipindi ambacho kinatoa muda mrefu sana kuchambua kuliko vipindi vyote vya michezo.Sababu ni nini?? Maana kuna watangazaji unawasikiliza sasa ivi wametoka hukohuko efm
Sijui , lakini binafsi naona nje ya George Ambangile, hakuna mchambuzi mwingine yeyote wakuweza kulinganishwa kwa ubora na vichwa vilivyo ndani ya Sports Headquarters.JAYJAY hiko kipindi sisikilizagi kabisa hata nikiwa free kipindi changu Bora Ni sports Arena,Kuna kipindi kingine ninapenda kukisikiliza Ni Cha ebony Cha michezo kipo vizuri pia
Umemaliza points zote hapa Ndugu mdau.Kuna mnyakyusa anaitwa George ambangile Huyu Jamaa anajua mpira anajua kuchambua Siku asipokuwepo hata sipat burudan ya uchambuz
JAYJAY Unajua kila mtu anamtazamo wake kwa upande wangu huyo maestro na Jeff Leah siwakubali kabisa Wana uchembechembe wa uman united hawapendi kuficha ficha ushabiki wao pia Oscar Oscar ana umakuzi fulani wa kiboya badala ya kujikita kuchambua ndio maana kipindi sikiangalii kabisa Bora hata Cha East Africa radio kuliko hiko.Sijui , lakini binafsi naona nje ya George Ambangile, hakuna mchambuzi mwingine yeyote wakuweza kulinganishwa kwa ubora na vichwa vilivyo ndani ya Sports Headquarters.