Hivi unajisikiaje kuiingizia kampuni hasara

Hivi unajisikiaje kuiingizia kampuni hasara

Mi naona kama promo maana katukana makusudi
 
OK

Niende direct baba levo anajiskiaje right now baada ya wasafi FM kufungiwa kwa siku 7 sababu ikiwa ni yeye...siku ya Jana TCRA wameifungia wasafi FM isiwe hewani mpaka tarehe 18 Kisa maudhui yaliyokosa maadili hususan kwenye kipindi cha mashamsham ya dida double d na the switch ya kina lil ommy ambapo kwa the switch ni pale baba levo alipowaongelea vibaya wanawake wanene...na nlipopata nafasi ya kuskia alichotamka baba levo akiwa live kwenye the switch nikaona jins gani Almas alikosea kumuajiri kama mtangazaji wa kipind cha heshima kama mgahawa

NITAMISS SPORTS ARENA HASA BAADA YA LIGI KUU KUWA MOTO NA EPL KUANZA
Jana kajibu akiwa wasafi village kuwa anajisikia vibaya sana na kaongeza kuwa TCRA wameihukumu wasafi kwa interview aliyofanya kipindi cha nyuma alipoojiwa na akina dida kabla hata hajaajiliwa wasafi. Kisha akawaomba TCRA wasifukue makaburi yake ya nyuma maana watafungia redio zote alizowahi kufanya nazo interview waanze kumtazama sasa.
 
Inakuwaje unene ni tusi? Basi huyo mnene si tayari tusi lilowazi na kutembea kila sehemu.
 
JAYJAY hiko kipindi sisikilizagi kabisa hata nikiwa free kipindi changu Bora Ni sports Arena,Kuna kipindi kingine ninapenda kukisikiliza Ni Cha ebony Cha michezo kipo vizuri pia
Sababu ni nini?? Maana kuna watangazaji unawasikiliza sasa ivi wametoka hukohuko efm
 
Sababu ni nini?? Maana kuna watangazaji unawasikiliza sasa ivi wametoka hukohuko efm
ze-dudu kwanza kabisa sports arena kina mchambuzi Bora wa uchambuzi kwa sasa George ambangile alafu pia kina edo kumwembe, George job, Ni kipindi ambacho kinatoa muda mrefu sana kuchambua kuliko vipindi vyote vya michezo.

2.Hakina ushabiki wa team

Japo wachambuzi wao Wana team zao wanashabikia lakini linapofika kwenye uchambuzi wao uoni wakiweka ushabiki kitu ambacho Ni tofauti na vipindi vingi vya michezo.

3.kutoa fursa kwa mashabiki

Wana section ya mashabiki kuchangia hoja na kutoa dukuduku kwenye hoja ambayo washachambua teyali.Kuna demokrasia kwenye kipindi Chao tofauti na vipindi vingi vya michezo.Naomba niishie hapa Nina vitu vingi Sana kwenye kipindi hiki.
 
JAYJAY hiko kipindi sisikilizagi kabisa hata nikiwa free kipindi changu Bora Ni sports Arena,Kuna kipindi kingine ninapenda kukisikiliza Ni Cha ebony Cha michezo kipo vizuri pia
Sijui , lakini binafsi naona nje ya George Ambangile, hakuna mchambuzi mwingine yeyote wakuweza kulinganishwa kwa ubora na vichwa vilivyo ndani ya Sports Headquarters.
 
Sijui , lakini binafsi naona nje ya George Ambangile, hakuna mchambuzi mwingine yeyote wakuweza kulinganishwa kwa ubora na vichwa vilivyo ndani ya Sports Headquarters.
JAYJAY Unajua kila mtu anamtazamo wake kwa upande wangu huyo maestro na Jeff Leah siwakubali kabisa Wana uchembechembe wa uman united hawapendi kuficha ficha ushabiki wao pia Oscar Oscar ana umakuzi fulani wa kiboya badala ya kujikita kuchambua ndio maana kipindi sikiangalii kabisa Bora hata Cha East Africa radio kuliko hiko.
 
Back
Top Bottom