madia madia
JF-Expert Member
- Sep 30, 2017
- 717
- 701
Nawasilisha mada,
Wanandoa wengi hudhani kwamba wakati mwingine mume au mke anayeishi naye bado si chaguo lake. Utakuta mtu anapofunga ndoa anasema kama atazingua tunaachana tu. Nadhani hii inasababisha watu wawe loose sana kwenye maisha ya ndoa. Na ukiwa loose endapo upepo utapita hata kama mwepesi basi utashangaa unaenda nao.
Maana yake ni kwamba ikitokea ametokea mtu akatongoza au kutongozwa basi hukubali kumwacha mtu anayempenda. Victim wakubwa ni wanawake na ndio maana wengi wakitongozwa hukubali haraka na huku tunasema ni wadhaifu.
Ninachojua especially mwanamke ukishaolewa basi jitahidi kujiweka sawa kisaikolojia kuwa huyo mwanaume ndio chaguo lako. Hata kama ni mvuta bangi ndo uliomchagua. Sasa kwa wapenzi na wachumba nadhani ndo balaa maana kutwa kucha wanachunguzana. Labda itokee mwanamke kapewa ujauzito.
Nawasilisha.