Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,467
- 13,026
Mmh yani unaolewa ila unaishia kuwa bi harusi afu mke ni mwingineeee
[emoji1] Nimecheka kama mazuri.
Nimependa hii, unaolewa na kuishia kuwa bi harusi...lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmh yani unaolewa ila unaishia kuwa bi harusi afu mke ni mwingineeee
Teh yani wewe kazi yako inaishia siku ya ndoa ukumbini. Maisha ya mke anakuja kuyaishi mwingine[emoji1] Nimecheka kama mazuri.
Nimependa hii, unaolewa na kuishia kuwa bi harusi...lol
Teh yani wewe kazi yako inaishia siku ya ndoa ukumbini. Maisha ya mke anakuja kuyaishi mwingine
Umebaki tu kujiita mrs fulanHahah!, imagine na ndo inavyokuwa aseeh!
Mazuri yote anapelekewa nyumba ndogo halafu mwenye nyumba anabaki kuwa msindikizaji.
Yaan wewe sogea pale kibanda umiza tuangalie movie ya ndoa kha watu wanaoana hawajuani tena wale unakuta jamaa anafanya kazi demu yupo chuo akimaliza tu ndoa hapo mmeajuanaje tabia kwa mfano????Mtu mmekutana mkiwa mnamiaka kuanzia 20 au 30....mmekaa kidogo mmeoana.....ulikua unahisi umemuelewa kumbe ndo hata asilimia 1 hukufika..ukikaa nae unaona mambo mengi ya ndani ambayo huyajui....upendo wa kudumu utatoka wapi hapo?.
Watu kwenye ndoa wanavumiliana tu na kupotezea..hamna jipya...
Kudefine neno upendo ni kazi sana.
Kama ni kweli usemayo, unafanya mambo ya kipumbavu sana mkuu.Duh mm mmoja wao yaan I hate my wife. Sijawahipiga picha naye toka tumeoana, nikitoka naye out mara chache sana toka tumeoana over 9yrs nishatoka nae mara 4 huwa natafuta sababu yyt either tukae mada mfupi sana, ama naondoka namwacha na watoto. Mchepuko ndo naupenda balaa, nimekaa nao for 4yrs umegoma kuzaa nanmm eti mme wa mtu, juzi juzi ikabidi niuteme, ss una mimba ila bado nauoenda s\na tu na kila siku lazima tuongee. Na wenyewe unanipenda kufa kupona.na wala si kwa sababu ya kunichu la hasha hata huwa simhudumii kivile
Si tunawaona hadi wanatelekeza familia kabisa!! Alafu wanajichetuaga eti huwa wanachepuka kufuata papuchi tu sio kama wanawake. Sijui ndio kukariri mamabo au wanatuandaa kisaikolojia ilibtukubaliane na upuuzi wao!!Wapo sana tu, tena ana fall haswa!
Dah! Hii imeniuma, na imagine mkeo anavyokupenda na kukujali, anavyokuthamini kwa moyo wake wote. Anavyohangaika kwa kila hali kutamani uwepo wako, akitamani japo umwambie unampenda, akitamani kuspend quality time with u bila mafanikio!!!! Anavyosononeka unavyompotezea!Duh mm mmoja wao yaan I hate my wife. Sijawahipiga picha naye toka tumeoana, nikitoka naye out mara chache sana toka tumeoana over 9yrs nishatoka nae mara 4 huwa natafuta sababu yyt either tukae mada mfupi sana, ama naondoka namwacha na watoto. Mchepuko ndo naupenda balaa, nimekaa nao for 4yrs umegoma kuzaa nanmm eti mme wa mtu, juzi juzi ikabidi niuteme, ss una mimba ila bado nauoenda s\na tu na kila siku lazima tuongee. Na wenyewe unanipenda kufa kupona.na wala si kwa sababu ya kunichu la hasha hata huwa simhudumii kivile
That's an emotional thing, usimlaani.Dah! Hii imeniuma, na imagine mkeo anavyokupenda na kukujali, anavyokuthamini kwa moyo wake wote. Anavyohangaika kwa kila hali kutamani uwepo wako, akitamani japo umwambie unampenda, akitamani kuspend quality time with u bila mafanikio!!!! Anavyosononeka unavyompotezea!
Mungu akashughulike nawe aisee
Mateso ya kihisia anayompa mkewe ndo yatamlaaani wala si mimiThat's an emotional thing, usimlaani.
Natamani nikutusi ila acha tu nikuache cuz wanaume kama nyinyi ndio mnaosababisha nchi inakua jangwa kwa kukosa mvua kweli unaishi na mtoto wa mtu kama mnyama cyo poa ndoa ni furaha na amani ila kama huwez kuishi nae waweza mwacha aendeleee na mambo yake. binadamu unakua na roho mbya utazani hujazaliwa na mwanamke sema inaonekana kwa tabia zako umekosa malezi mazuri yawazaz au maisha unayoishi ndio maisha ya wazaz wako walikua wanaishi vby bila upendo na ndio maaana unaishi kwa visasi na roho mbya.Duh mm mmoja wao yaan I hate my wife. Sijawahipiga picha naye toka tumeoana, nikitoka naye out mara chache sana toka tumeoana over 9yrs nishatoka nae mara 4 huwa natafuta sababu yyt either tukae mada mfupi sana, ama naondoka namwacha na watoto. Mchepuko ndo naupenda balaa, nimekaa nao for 4yrs umegoma kuzaa nanmm eti mme wa mtu, juzi juzi ikabidi niuteme, ss una mimba ila bado nauoenda s\na tu na kila siku lazima tuongee. Na wenyewe unanipenda kufa kupona.na wala si kwa sababu ya kunichu la hasha hata huwa simhudumii kivile