Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

Kwanini ule kiapo cha kuishi milele na mtu usiempenda? Hapa ndo siwaelewi kabisa binadamu. Mtu anakwambia kabisa simpendi gf/bf wangu ila nitaolewa nae tu. Utumwa wa nafsi siwezi kuishi na mtu nisiempenda tena under one roof ndo kabisaa. Ndo maana kuna watu wako2 kwenye ndoa wana kila kitu ila hawana furaha sababu ya kukurupuka kuweka wenza wasiowapenda ndani.
Unazani mwanzon anakua hakupend au na we we humpend tatzo ukisha oa tu ndio mabadirko yanapojionyesha ambapo mwanzo havukuwepo
 
Seya wa mivado.. Niko pub imegongwa hii zilipendwa naona nyomi lote limesimama.
 
Sasa kwann usimwambii mwenzio kama humpend ili ajue na yy aanzishe maisha yake anaweza pata mtu atakae mpenda kuliko unavyomfanyia kumbuka huyo mchepuko wako nae ukimuoa utajikuta unamuona wakaida na hutompenda ...siku zote mapenz ya uhawara huwa hayaishi hamu hata mkae miaka 20 sababu kila mtu yupo kwake mkikutana kila mtu anakua hot hamjagusana kitu kimelegea ila ndoa uvumilivu mwenzio anashinda na wtt kaz za nyumban zote Zake stress kwenda mbele na bado mda wa tendo huwez kumpa maneno matamu yakumsahaulisha stress zake we ukigusa kiuno ukiona halegei unaweka mate unamaliza mchezo ..kwa stail hyo utamchukia mkeo maisha yako yote ...wanaume weus hamjui kuwapet pet wake zenu ni wabinafsi mnajijali nyie tu.
Tumwachie Mungu tu maana...mmmh wanawake wa sasa wengi wao hawajui kushukuru hata kwa kile kidogo kizur watendewacho...badala yake wanakuona mjinga tuuuuu....
 
Ndio ...tumeoana mwaka wa 7 huu lkn kila cku kama mmeoana leo ...lkn mdg wangu mwaka wa 2 kwenye ndoa tyr malalamiko kibao
Lkn pia tambua kuwa na wazungu nao ni binadamu, kwahyo wapo wenye upendo wa kweli na wasio na upendo wa kweli.
 
Ndio ...tumeoana mwaka wa 7 huu lkn kila cku kama mmeoana leo ...lkn mdg wangu mwaka wa 2 kwenye ndoa tyr malalamiko kibao
Halafu wanaume wenye nia na upendo wa kweli hawanaga mambo mengi zaidi ya kupenda na kujali....lakin ndio wanaoonekana kama washamba na wajinga. Matokeo yake mabinti wanakimbilia et kwa wale wanaodhan kuwa hao ndio wa mjini.....matokeo yake ni mabaya.....
 
Ndio ...tumeoana mwaka wa 7 huu lkn kila cku kama mmeoana leo ...lkn mdg wangu mwaka wa 2 kwenye ndoa tyr malalamiko kibao
Lkn pia kama mumeo anakujali shukuru Mungu, nenda katoe sadaka kanisani ama msikitini, usije ukamchukia mume wa mdogo wako buree
 
Back
Top Bottom