Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

Kwa kweli afanye tu amuache mkewe, afu auoe huo mchepuko afu ndo ajue kama the grass is greener kama alivyokuwa anaona mwanzoni. Maisha ya ndoa na ya dating/kuchepuka ni tofauti sana
Ndio maana MI nitaendelea kukudate tu,nikikuoa Utamu wote utaisha.
 
Sasa kwann usimwambii mwenzio kama humpend ili ajue na yy aanzishe maisha yake anaweza pata mtu atakae mpenda kuliko unavyomfanyia kumbuka huyo mchepuko wako nae ukimuoa utajikuta unamuona wakaida na hutompenda ...siku zote mapenz ya uhawara huwa hayaishi hamu hata mkae miaka 20 sababu kila mtu yupo kwake mkikutana kila mtu anakua hot hamjagusana kitu kimelegea ila ndoa uvumilivu mwenzio anashinda na wtt kaz za nyumban zote Zake stress kwenda mbele na bado mda wa tendo huwez kumpa maneno matamu yakumsahaulisha stress zake we ukigusa kiuno ukiona halegei unaweka mate unamaliza mchezo ..kwa stail hyo utamchukia mkeo maisha yako yote ...wanaume weus hamjui kuwapet pet wake zenu ni wabinafsi mnajijali nyie tu.
Amepewa limbwata huyo si bure,,,, mke ndio kila kitu mpende atatulia anakuwa vile unavyopenda,,,,, mi nachukia michepuko kutwa kuturoga tuharibu maisha yetu,,,,,
 
Halafu wanaume wenye nia na upendo wa kweli hawanaga mambo mengi zaidi ya kupenda na kujali....lakin ndio wanaoonekana kama washamba na wajinga. Matokeo yake mabinti wanakimbilia et kwa wale wanaodhan kuwa hao ndio wa mjini.....matokeo yake ni mabaya.....
wengi wenu mnajifanya kupenda 'ma-bad boys' ila 'good boys' wanaowapenda kwa dhati mnawaona kama mazombi!
 
Mwanamke akiforce Ndoa ndio mwisho wake huo.uswahilini wanaita Jamaa kachomekewa, either mimba au mwanaume Kuwa mgeni wa show Kali. Akishajua alioa Kwa sababu ya ugeni WA show ndio anatafuta mwingine Kwa umakini.

Hamna lolote hivyo ndio huwa visingizio vyenu, ulazimishwe ndoa we taahira?!!!!
Sema hiyo ndio huwa kwa wanaume wote wasiojielewa na wasio na akili.
 
Hamna lolote hivyo ndio huwa visingizio vyenu, ulazimishwe ndoa we taahira?!!!!
Sema hiyo ndio huwa kwa wanaume wote wasiojielewa na wasio na akili.
ndio hao wasiojielewa, trust me kuna watu wanaingia kwenye ndoa bila kujua wameingia kwa kupenda au kwa kupewa papuchi, kuna ushamba wa papuchi unajua, we utakuwa hujakutana na mwanaume wa namna hii, walio kutana nao wanaelewa. akishakuwa mjanja ndio anachangamka. kuna watu wanatongozewa mademu wakiwa watu wazima kabisa yaani dunia ya mapenzi inakuwa mpya kabisa kwao, total limbukeni.
 
Duh mm mmoja wao yaan I hate my wife. Sijawahipiga picha naye toka tumeoana, nikitoka naye out mara chache sana toka tumeoana over 9yrs nishatoka nae mara 4 huwa natafuta sababu yyt either tukae mada mfupi sana, ama naondoka namwacha na watoto. Mchepuko ndo naupenda balaa, nimekaa nao for 4yrs umegoma kuzaa nanmm eti mme wa mtu, juzi juzi ikabidi niuteme, ss una mimba ila bado nauoenda s\na tu na kila siku lazima tuongee. Na wenyewe unanipenda kufa kupona.na wala si kwa sababu ya kunichu la hasha hata huwa simhudumii kivile


are you serious??? humpendi Mke wako na unajisifia wewe ni mwanaume khaa shame on you
 
Hv mnataka kusema mtu unaweza kuingia kwenye ndoa kwa kulazimishwa? Hebu acheni uongo basi.
Hv unaweza kujilazimisha kbs kuoa mtu usiempenda na siku ya harusi ukawa na furaha kbs????
Pole yenu kwakweli.
 
Ni bora utumie muda wako duniani kutafuta unaempenda kuliko kujiingiza kwenye ndoa usiyokua nayo na furaha. Huwa naamini hell and heaven ziko duniani. Kwanini uishi kwenye ndoa2 ya mateso (hell) kabla hujaenda kuhukumiwa kwa Mungu baadae. Watu wengi tuna pressure sana na ndoa. Tunaamini ndoa ni kila kitu.
Kbs yaan ht mm nawshangaa sana hawa wanaosema walioa watu wasiowapenda.
Kwanza nawapa hongera kwa kuweza kuishi na watu wasiowapenda maana hicho nacho ni kipaji cha hali ya juu.
 
Duh mm mmoja wao yaan I hate my wife. Sijawahipiga picha naye toka tumeoana, nikitoka naye out mara chache sana toka tumeoana over 9yrs nishatoka nae mara 4 huwa natafuta sababu yyt either tukae mada mfupi sana, ama naondoka namwacha na watoto. Mchepuko ndo naupenda balaa, nimekaa nao for 4yrs umegoma kuzaa nanmm eti mme wa mtu, juzi juzi ikabidi niuteme, ss una mimba ila bado nauoenda s\na tu na kila siku lazima tuongee. Na wenyewe unanipenda kufa kupona.na wala si kwa sababu ya kunichu la hasha hata huwa simhudumii kivile
Aiseee masikini pole kwa mke.
 
Unaoa/kuolewa kwa kufata mkumbo.... Kiss flan kaoa/kuolewa n ww et uoe/kuolewa unazan mtapendana vp cku za uson? Tupunguze kukurupuka, kosea kwngine ila c ktk ndoa jmn... Za kuambiwa ongeza n zako
 
U know why wakati nampenda alinisumbua sana, maana alikuwa anagegedwa ovyo mpaka na ndugu zangu.baadae nikaamua kutembea na zipu wazi
Ooooh...pole sana kwa hilo ila mngeachana tu otherwise mtapata magonjwa ..mana we ukichepuka na yy aanze kuchepuka tena na michepuko nayo ichepuke ..yan mnyololo hautakwisha na vijiugonjwa vitapita humo humo
 
Umechangia vizuri, Umeharibu uliposema wanaume weusi Fanya tafiti au ulizia Tabia za hao weupe ujue, usiamini tamthiliya. Usimuamini mtu kutokana na rangi yake. Jaribu kufuatilia Maisha ya dada zetu waliochukuliwa na wanaume happy weupe na Kuishi nao ughaibuni, utapata majibu.
Nilishafanya huo utafit ukiona mwanaume mweuc anakupet pet bac hapo ujue mwanamke anakaz yake anajielewa lkn kama huna kipato chochote unachoingiza utapetiwa mwanzo kama haruc bac miez ya mwanzo ukishazaa tu ndo mahaba by by..
 
Back
Top Bottom