Hivi unajua kuna watu wapo kwenye ndoa lakini hawaamini kama ni chaguo lao

Kwa kweli afanye tu amuache mkewe, afu auoe huo mchepuko afu ndo ajue kama the grass is greener kama alivyokuwa anaona mwanzoni. Maisha ya ndoa na ya dating/kuchepuka ni tofauti sana
 
Kwa kweli afanye tu amuache mkewe, afu auoe huo mchepuko afu ndo ajue kama the grass is greener kama alivyokuwa anaona mwanzoni. Maisha ya ndoa na ya dating/kuchepuka ni tofauti sana
Ajaribu tu aone kama anafikiri ni mteremko namna hiyo.
 
Haahahahahah jamaaniiii nimecheka saana eti wanaume weusi khaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiiii
 
Du hii Kali ya mwaka aisee
 
Ikitokea kuna msamaha wa watu wanaofikiri walikosea kuoa au kuolewa na walionao hivyo wanaruhusiwa kuwaacha bila sharti lolote sijui itakuwaje.......
 
Nadhani kutokana na hili ndo mana michepuko ina nguvu kila siku. Hatuna sababu ya kujiuliza tena.
 
Goodness Gracious! [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…