Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila pia ni miongoni mwa magamba matatu ndani ya ccmRostam kuchangia sh 20m ujenzi wa Kanisa imekuuma sana bwashee?
Ni Rostam huyu huyu aliwanunulia vyombo vya muziki kwaya ya KKKT kinondoni labda utakuwa umesahau bwashee!
Kusema kweli hili la hawa wazee linaumiza sana sana, inaonekana ni visa zaidi kuliko ukweli ulivyo. Mbona mafisadi wengi tu wameachiwa ila hawa waliochukua fedha zao wanakaa gerezani bila sababu zozote.Jiulize kwanini kina Harbinder na Rugemarila bado wapo mahabusu! Ni kwasababu wamegoma!
Wanasimamia kile wanachokiamini mkuuKusema kweli hili la hawa wazee linaumiza sana sana, inaonekana ni visa zaidi kuliko ukweli ulivyo. Mbona mafisadi wengi tu wameachiwa ila hawa waliochukua fedha zao wanakaa gerezani bila sababu zozote.
Hahaha kwani Vunjo ilikuwa mali ya Mrema na Mbatia?!Kimei alimjengea tawi ka CRDB Chato akaahidiwa CHEO.
Leo kapitishwa kugombea VUNJO, walioshinda KURA ya maoni wamepigwa chini.
Mbatia na Mrema wametumikaa ila leo ni kama wamegeukwa.
Graduates wenzangu tuchukue vitamvulisho vya machinga tuchape kazi kweriiii kweriiiiii