Hivi unajua kwa nini Mapenzi yaimbwa sana?

Hivi unajua kwa nini Mapenzi yaimbwa sana?

Kijana hata sielewei apa unazungumzia nn ebu nipe maarifa kidogo maana sio kitu [emoji1787]
yanaimbwa kwa mana wenye kuyafurahia wanayasifia kwa kila sifa nzuri na wenye kuyachukia wanayachukia kwa kila chuki mbaya na wengine wapo kati na kati.
Halafu angalia maajabu yake, hayana furaha ya kudumu wala chuki ya kudumu, na kuvumiliana ndo silaha ya kudumu nayo.
Umeyapatia picha au?!
 
Apo na mwanga kidogo, ila mapenzi huwa hata siyelew kwamba yanataka nn kwa kweli ni kama paper la necta vile
 
na iyo ndo mantiki yangu ya kuuliza. Huenda kuna mwenye majibu kamili atakuja kutoa majibu siku moja
Hakuna atayetoa jibu sahihi maana siku izi mapenzi yamejaa unafiki sana hakuna true love hata kidogo yaani pesa ndo imekuwa chanzo cha maangaiko na uharibu mwingi katika kuaminiana kwenye mahusiano.
 
Hakuna atayetoa jibu sahihi maana siku izi mapenzi yamejaa unafiki sana hakuna true love hata kidogo yaani pesa ndo imekuwa chanzo cha maangaiko na uharibu mwingi katika kuaminiana kwenye mahusiano.
Sehemu ya majibu kumbe unayo?! Kumbe watu wakiacha unafiki..,true love imo kumoyo?!
 
Sehemu ya majibu kumbe unayo?! Kumbe watu wakiacha unafiki..,true love imo kumoyo?!
Ndiyo, maana pesa ndiyo inafanya watu waishi maisha ya inafiki sana, hasa wanawake utakuta anapewa kila kitu lakin anachepuka kwenda kwa mtu hata aeleweki ila yule ambaye uko nae ni pesa ila kwa upande wa wanaume ss ni tamaa tu za kutaka kupata laza mpya ile ya zamani inkiwa old imeshapita kwa hiyo tunatafuta new ambayo changa ya moto
 
nataka nioe
wewe oa tu ndugu. Usisite wala usiogope,
ndoa ndio taasisi pekee ya kuchuma hekima na busara au kuzoa ushenzi na roho mbaya,
ndoa inamuandaa kiongozi mwema au kiongozi mbinafsi na katili,

Wala usisite kuoa ndugu yangu, kweli ndoa ndoana, hii ni kauli ya wahenga. 50/50 naikubali na kuipinga.
Muhimu cha kuwa nacho moyoni: misingi ya ndoa haipatikani kwy demokrasia wala katiba ya nchi bali inatambulika tu. Misingi ya ndoa unaipata kwa kumtambua muumba wako na kuzingatia kitabu chake. Naye pia lakini karuhusu talaka...,lazima tuyaimbe mapenzi kwa furaha au kwa huzuni.
Ndugu yangu, na hayo ndo maisha
 
Back
Top Bottom