Vichwa panzi wanadhani kunatofauti kiivyo kama mtoa madaYeah hafu wap Maji 1L ya Dasani KES 100 ambayo sawa na Tsh 2,000
Wakati sisi 1L TSH 700
Tumepigwa mbele na nyumaUchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
Chapati kenya ni 20 bob ambayo ni 400 tsh alafu kunawatu wanasema kenya wapo vizuri kiuchumi, uchumi ganiYeah hafu wap Maji 1L ya Dasani KES 100 ambayo sawa na Tsh 2,000
Wakati sisi 1L TSH 700
Kuna Kiongozi mmoja wa Jamhuri ya kusadikika aliliambia Bunge kwamba hayo mahela ya deni yanaoneka mengi cause its TZS ati tuyagawe kwa dola ya US ili tujue deni halisi.Ndiyo maana tumekubaliana deni letu tuwe tunalitaja kwa dola ili liwe dogo. Mmesahau?
Ana IQ ya 50 huyoKuna Kiongozi mmoja wa nchi ya kusadikika aliliambia Bunge kwamba hayo mahela ya deni yanaoneka mengi cause its TZS ati tuyagawe kwa dola ya US ili tujue deni halisi.
NakaziaYeah hafu wao Maji 1L ya Dasani KES 100 ambayo sawa na Tsh 2,000
Wakati sisi 1L TSH 700
Unajua maana ya purchasing PowerUchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania
Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
Itakuwa hauelewi uhusiano wa currency na uchumiUchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania