Hivi unajua million 1.97 ya Tanzania ni sawa na laki 1 ya Kenya

Hivi unajua million 1.97 ya Tanzania ni sawa na laki 1 ya Kenya

Vipi kuhusu dolanya US na shilingi ya TZ, bado thamani ya fedha haiakisi hali uchumi?
Kama unazungumzia uchumi na akisi yake ndipo hapo unaitaja tz na marekani na pesa yake.
Wanatuzidi uchumi wa jumla,wa mmoja moja,na hata idadi ya watu.

KWa hii ya kenya kuitanguliza pesa pekee hapa italeta mkanganyiko kama huo huko juu.
 
Kupunguza masufuri sio issues sana ninachotaka kuhoji Ile Purchasing Power inabaki ile ile tu

Yaan anachonunua 254 kwa laki moja ambayo ni sawa na 2M kwa 255 ndio hikohiko pia kingine unatakiwa ujue hao jamaa licha ya huo uchumi wao kusema upo juu na wanapesa yenye thamani bado wana maisha magumu sana mkuu
 
Mi naomba kueleweshwa hapa

250,000tsh ni sawa na 12,887.5ksh
Kwa Tanzania hiyo 250,000 ninaweza kupata LED TV inch 32, je mkenya akiwa na hiyo 12,887.5 anaweza kununua LED TV inch 32?
1.Kama jibu ni ndiyo inamaana hatuna tofauti
2. Kama jibu ni hapana inamaana tumewazidi
3. Kama jibu ni anaweza kupata TV na chenji ikabaki/TV zaidi ya moja inamaana wametuzidi
 
Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania

Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
Jitahidi uhamie Kenya mkuu.

Kwanini kila mara Kenya Kenya?

Kama umepapenda hamia huko mkuu.

Wenzako wamehamia Marekani na Ulaya
 
  1. Kama unazungumzia uchumi na akisi yake ndipo hapo unaitaja tz na marekani na pesa yake.
Wanatuzidi uchumi wa jumla,wa mmoja moja,na hata idadi ya watu.

KWa hii ya kenya kuitanguliza pesa pekee hapa italeta mkanganyiko kama huo huko juu.
Indicators of a healthy economy
  • Stable democracy
  • Military might
  • Rule of law
  • Standards of living, social issues, religion, etc
  • Education, health, mortality rate
  • Individual freedom & happiness index
  • Nation reserve
  • Import and export
  • Diplomacy & international relations
  • Independence - how much a country depend on itself in case of let's say a sudden epidemic, catastrophic occurrence or even war?
 
Uchumi wa kenya uko juu japokuwa hawana rasilimali nyingi kama Tanzania

Kenya inajangwa upande wa kasikazini, Tanzania yetu hii uchumi umeganda haueleweki kama unapanda au unashuka rasilimali tunazo nyingi sana Mungu ametubariki ila ndo taifa Masikini Afrika ,what a shame my broh?
Ukiwa na elfu 38 ya bongo Kenya ni hela ya kula miwa tu just elf 2 tu😁 dah
Ila Kenya hawazidi muwa kwa kshs 2000, muhindi wa kuchomawanauza kshs 200 kuna tatizo?
 
Mi naomba kueleweshwa hapa

250,000tsh ni sawa na 12,887.5ksh
Kwa Tanzania hiyo 250,000 ninaweza kupata LED TV inch 32, je mkenya akiwa na hiyo 12,887.5 anaweza kununua LED TV inch 32?
1.Kama jibu ni ndiyo inamaana hatuna tofauti
2. Kama jibu ni hapana inamaana tumewazidi
3. Kama jibu ni anaweza kupata TV na chenji ikabaki/TV zaidi ya moja inamaana wametuzidi
Kipimo kizuri cha uchumi mkubwa na mdogo ni hiki.
Mimi nipo kenya ni mwalimu nalipwa milioni 2 za kitanzania.

Alafu kuna mwalimu yupo tanzania kwa kazi ile ile na mazingira yaleyale analipwa laki 6 za kitanzania.

Kwa hiyo huyu wa kenya ni rahisi kwake kupata hiyo laki 6 na huyu wa Tz ni ngumu sana kupata hiyo 2m. Hapa ndio tungesema uchumi wao mkubwa mpaka kwenye vipato.

Lakini katika uhalisia sasa wa kenya na Tanzania hali haipo hivyo ni namba tu zatofautiana.

Ni sawa tu na kenya kuamua kutumia sufuria kubwa kupika kilo moja ya ugali wakati tanzania wametumia sufuria ndogo kupika kilo moja hiyohiyo ya ugali, kwa hiyo kenya wanajiona wakubwa kwasababu wanasufuria kubwa lakini ndani ya hiyo sufuria kubwa kuna ile ile kilo moja ya ugali kama mliyonayo ninyi wenye sufuria ndogo😁😁😁😁😁😁
 
Thamani ya pesa ni MANUNUZI siyo NAMBA.

Leta hapa na bei zifuatazo kati ya TZ na Kenya.

  • Kilo ya unga
  • Nauli ya daladala
  • Mtungi wa gesi
  • Luku
  • Kodi chumba kimoja
  • Pesa kumuona dakt

Thamani ya pesa ni MANUNUZI siyo NAMBA.

Leta hapa na bei zifuatazo kati ya TZ na Kenya.

  • Kilo ya unga
  • Nauli ya daladala
  • Mtungi wa gesi
  • Luku
  • Kodi chumba kimoja
  • Pesa kumuona daktari
Kuna jambo kubwa hapa la kutazama na sio kuishia tu kwenye bei za vitu ukaona Tanzania tuko vizuri.
Je fursa za kupata hiyo hela kati ya Tanzania na Kenya uko vipi?
Mfano tunapoangalia mpira viwanja vya ulaya,viwanja vinajaa,,lakini kiingilio chao kwa fedha ya Tanzania ni laki kadhaa, lakini hapa Tz kiingilio Cha elfu Tano kinatutoa jasho.
 
Kupunguza masufuri sio issues sana ninachotaka kuhoji Ile Purchasing Power inabaki ile ile tu

Yaan anachonunua 254 kwa laki moja ambayo ni sawa na 2M kwa 255 ndio hikohiko pia kingine unatakiwa ujue hao jamaa licha ya huo uchumi wao kusema upo juu na wanapesa yenye thamani bado wana maisha magumu sana mkuu
Kuhusu hali ya maisha, Afrika nzima hakuna wa kumcheka mwenzie.

Utofauti unakuja pale tu iwapo wewe ni ama wa maisha fukara, duni, wastani, tajiri au kibosire.
 
Kuna jambo kubwa hapa la kutazama na sio kuishia tu kwenye bei za vitu ukaona Tanzania tuko vizuri.
Je fursa za kupata hiyo hela kati ya Tanzania na Kenya uko vipi?
Mfano tunapoangalia mpira viwanja vya ulaya,viwanja vinajaa,,lakini kiingilio chao kwa fedha ya Tanzania ni laki kadhaa, lakini hapa Tz kiingilio Cha elfu Tano kinatutoa jasho.
Kenya hali ni TETE kwa Mwananchi wa kawaida.
 
Back
Top Bottom